Mrs Van
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 7,806
- 17,925
Nitamjuaje huyu bikra. Wana alama usoni[emoji849][emoji849] Carlos The Jackal,
Hujawahi nunua soda haijafunguliwa ila imeexpire? Ukiifungua utainywa? Bora ugawane na mwenzio soda nzima kuliko ufungue yako uinywe na ni imeexpire.Ukweli ni kwamba mwanamke na mke ni tofauti!
Kwenye mahusiano ya kuhit n run hawa waliotumika ni wazuri zaidi ya bikra but when it comes kwenye kuoa bikra inathamani mara elfu kumi zaidi ya aliyetumika
Mwisho nikupe pole kwa kujifariji
Mwaka jana kuna binti wa around 22 yrs old alinitunuku kitu taiti, nilichomeka nikasikia mchaniko tatatatatatatatatata tratratratratratra na damu juu, aliniambia hajawahi ingiliwa, niliamini.watulie tu,wasitupigie kelele humu na ubikira,bikira walizitoa wanaume wenzao sio Aliens!
Hujawahi nunua soda haijafunguliwa ila imeexpire? Ukiifungua utainywa? Bora ugawane na mwenzio soda nzima kuliko ufungue yako uinywe na ni imeexpire.
Bikra ina maana kama tabia ni nzuri na mwanamke ni mama bora na ana hofu ya MUNGU.
Watu wanaoa mabinti wakiwa wadogo miaka 19-23 wakiwa na bikra halafu wakishakomaa hawashikiki. Hofu ya kugongewa inasababisha wanaume wasifikiri.
Hapa nimeona ujinga wako Becks, mwanamke atamchukia aliembikiri ikiwa, baada ya kula tunda jamaa alimpiga chini, kabikiriwa na shamba boy wao, au mkaka wa mtaani.Time waster!
please don't waste my time!
Kama ungekua observer mzuri ,ungeshajua wanawake wengi hawawapendagi waliotoa bikira zao sembuse kuolewa nao..??...
this is my last post to you! bye
Wasikutibue watoto hao wasioheshimu mwanamke. Wengi wanapiga kelele bikra, bikra ila hawajakaa na baba zao wakapewa historia za mama zao. Mwanaume mtu mzima mwenye afya na akili hawezi kimbizana na mzimu wa hofu ya kugongewa na akaamini bikra ndo kufuli la kutokugongewa. Ni utoto.Your wife is a very lucky woman
Soma vizuri nilichoandika
Kwan si ndio ww ulishasemaga kuwa bikra ni kapu la ndoa. Au unameza maneno yako leo mbele ya mwanamama huyu.Kutafuta bikira sana ni aina fulani ya U Taliban.
Binadamu sijui tuna akili gani, yaani unatumia neno amen kusapoti hit and run lakini hapo hapo unasema bikra ndo yenye thamani, unasahau kuwa hit bila ndoa ndo sababu ya kutokuwepo kwa bikra.
NANI amekuambia Nazungumzia Bikra ktk muktadha wa kugongewa?Oa kwanza ukae kwe ndoa angalau miaka 5 ndo utajua nafasi ya bikra kwenye ndoa. Sasa hivi akili yako inawaza changamoto ya kugongewa mke tu ndo maana bikra kwako ni muhimu sana ila ukishakua na ndoa utagundua mengi kuhusu mwanamke, awe bikra au si bikra. Ukipata mtoto wa kike utagundua mengi zaidi kadri anavyokua.
Binadamu sijui tuna akili za kipuuzi sana wakati mwingine. yaani unatumia neno amen kusapoti hit and run lakini hapo hapo unasema bikra ndo yenye thamani, .
😁😁😁😁Unapokua huna wanachokitaka watu unatafuta confidence zone.! Lakini kazi ya kuhangaika na bikira ngumu kinoma.
Kwanza mnahangaishana mpaka ajue mchezo, bado atakung'ata.!! Akuparue na kucha!! Huu mchezo niliachaga zamani. Ni mwendo wa kupambana na wakongwe tu. Unamnunulia bia anajua kinachofuata.!!
Sent using Jamii Forums mobile app