PointMschana A bikra alokuja kutolewa uschana wake ndoani... Yeye mchumba wake wali kua wanazenguana nakugombana.
Mschana B ametolewa Bikra namiaka 16 , amekuja kuolewa na Miaka 28, hapo katikati amekua na wanaume tofaut tofaut 4--8 ..nakila mwanaume aliishia kumchezea na kumuacha.
Ktk hawa wawili, ni yupi aloumizwa kihisia kiasi cha kuchukia au kuathiri maisha yake ya baadae kimahusiano?????.
Ulishwahi sikia Bikra anasema 'Sitopenda tena??? au nawachukia sana wanaume?? Au Sasa hizi siwez penda ,au siku hizi naishi nao wanavyotoka...au Akizengua namie nazengua??" .....
Ulishwah sikia izo kauli toka kwa bikra???...hii inamaana gani???... Matokeo yake, Wanawake wengi waloumizwa kihisia na wanaume walotembea nao, huja kuishia kua Mguu ndani ,mgumu nje , mwisho nmejikuta mnawapa mapenzi nusu nusu wanaume wenye udhat kwenu. Na hatimaye wanaume hao hujiona kama hawapendwi nawao hujikuta wanajiondoa taratibu.
Mbona simpo tu.
Sent using Jamii Forums mobile app,using POP 2 power