Wanaume wanaoshadadia masuala ya bikra ni waoga wa wanawake

Wanaume wanaoshadadia masuala ya bikra ni waoga wa wanawake

Status
Not open for further replies.
Tatizo nawe ni miongoni mwa waliopoteza bikira zao mapema.. Tena naamini umechovywa na mashine zaidi ya kumi tofauti ndo ukabahatika kuingia kwenye ndoa(tena kama ndoa yenyewe unayo) Hv mwanamke wa dizain hyo unadhan ni wakuwa wife materials..,? otherwise in kujitafutia presha za maisha tu.
Never siji kuoa mwanamke aliyetolewa bikira na mtu mwanamume, daima atakuwa ni wakutumiwa miaka nenda rudi kama sibkutupwa mazima
Kama ww ni bikira sawa maana yakikukuta utalia na Mungu wako, ila kama siyo jiandae kwa lolote maana dunia ni mzunguko. Hapa Tanzania hatuna chombo kinachounda umoja wa wenye bikira kwamba utaenda kushtaki ukija gundua uliingizwa mjini.
 
Mtu ana-generalize kuwa wanaotaka kuoa mabinti bikra wana;

✓Vibamia
✓Wanaogopa kugongewa
✓Wana umri kati ya 23-28

Huu ni ujinga..Bikra iheshimewe japo kuwa sio guarantee ya mke kutulia au kutokuchapwa nje endapo utamuoa akiwa nayo

Nitamheshimu sana binti niliyemkuta bikra mfano kwenye umri around 22-25 ambaye hana kasoro yoyote physically and physiologically..

Huna Bikra unatulia na kuacha kupotosha kuhusu thamani na Bikra ya msichana
 
That's it
Aahhh Mkuu wangu, Kila Mwanadamu anastahili nafasi ya Pili....niivo mwanamke asokua Bikra aliwahi kua Bikra, wengine walitolewa kwa kubakwa, wengine kwa sababu ambazo mpaka wao hawaelewi, SASA HIYO HAIFANYI UHUKUMU TENA NAWEWE NIMTU WA WANAWAKE..

Ndio maana kila MTU huitaji nafasi ya Pili.... Mwanamke anaweza asiwe Bikra lkn AKAWA MZURI KTK NYANJA ZOTE kiasi kwamba ukawa MTU wa mafanikio sababu yake.Lkn hilo Haliji, nahalitakaa kuja, ikiwa tu huyo mwanamke sio Mcha Mungu.


Aya yule mwanamke alikua sio bikra, Lakini tazama, Huenda alikua na mteja ,huenda alikua hana pesa ,huenda alikua mbali sana... Lkn aliposikia habari za Yesu mkombozi, Aliacha kila anachofanya ,hakujali hana hela, hakujali watu watamuonaje, naye AKAAMUA KUPIGA HATUA KUMFATA YESU.



Kumbe Niktk Yesu pekee tabia zetu Hubadilishwa na kutifanya tuwe wapya kimwili nakiroho.



Ivo basi Fanya yooooote, Ukutane na bikra au lah , ILA HAKIKISHA HUYO MKEO NI MCHAJI MUNGU.
 
Kumsema mwanamke asiye na bikra juu ya kukosa bikra ni sawa na kumsema mzee ambae hakusoma ataumia tu maana hakuna kitu amefanya kwenye maisha yake.... Zaidi ya kupoteza ujana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kusex na Wanawake lundo nayo ni Sifa?

Ukweli ni kwamba, Wewe kama sio Bikra basi tambua kwamba ukija olewa, umeolewa na Mwanaume ambaye hakua wako, na kwa maana nyingine, utampatia kazi huyo mwanaume yakujitahidi kukuridhisha WEWE . nahuo ndo mwanzo wa Kuanza kumlinganisha linganisha na Mbooo ulizokutana nazo wewe.....

Kuna mmoja alitoa Uzi analaumu wanaume wa kilokole ,et Mumewe mlokole yuko zero kimahaba.

Lkn alisahau yakua,, kuruka ruka na wanaume ovyo, kumempa Roho na uzoefu ambao huyo Mlokole alokulia ktk maisha yake ya kilokole imempa ugumu..

Sasa kosa La nani? Wewe binti ulianza ngono namiaka 15 au mlokole aloamua kujitunza mpaka Ndoa?

Alafu , Mwanamke Bikra hana uzoefu wowote linapokuja suala LA kutendwa na kuumizwa ,, nahii inamchango mkubwa sana ktk maisha yake ya kimahusiano.

Kajiepusha na PID, magonjwa ya zinaa, n.k ...

Hajawahi Toa mimba.

WEWE MWENYEWE UNATAMAN YULE MWANAUME WAKO WAKWANZA , NDIO UNGEKUA NAYE MPAKA SASA !!!

Wewe Utasema yoteee, UKWELI NIKWAMBA BIKRA ATABAKI KUA BIKRA....semea tatizo liko kwetu sisi wanaume kushindwa kuthamin hiyo kitu...

Umri wangu...27--30..Sijaoa, Msukuma ,mashine ipo , Nmeajiriwa,Nina maisha yangu binafsi, mjasiriamali, mkulima, mweusii, Mwonekano wa Kiume...PAMOJA NAHAYA YOTE, SITOKAAA NA NITAKUA MWANAUME WA MWISHO KUKUBALIANA NA UPUUZI ULOANDIKA.
Nakuunga mkono ndugu mchangiaji...... Huyu kafeli anatafuta namna ya kujitetea tu hapa ila anajua hana point ya maana ya kutetea pumba zake......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi sitamani hata kuisikia bikira.

The more experienced the better.

Achana na mwanamke anayejua nini anafanya kitandani, ni mtamu kuliko kawaida.

Bikra is useless in my opinion. Imekaa kiukandamizaji na objectification ya mwanamke kuwa thamani yake inapungua kila anaposhiriki tendo.

Also, size ya uke haiwi influenced na frequency ya mwanamke kushiriki tendo.
Sikulaumu kwasababu siwezi kukujudge na sijajua umepitia makuzi gani.

Ila kwa pumba umetumwagia hapa inaashiria wazi tu kuwa wewe haukupitia vema malezi ya kiimani na haujashika vema mafunzo ya kiimani regardless of which imani unatokea maana kote teachings ni the same kukataza uzinzi kabla ya ndoa.

Ila kaa ukijua kuwa hizo mbwembwe kitandani ni just human mbwembwe but it has got nothing to do with nature ya kufanya mapenzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina imani kila binadamu ana kitu pendwa chake, waopenda wanawake bikra wana sababu zao za msingi na wasiopenda wanawake bikra wana sababu zao za msingi, si vyema kukashifu pande hizi (bikra na wasio na bikra)...cha muhimu kila mmoja kafurahia tendo mkutanapo kwenye "game"...so don't feel inferior kama huna bikra na don't feel superior kama una bikra...dunia ina mengi kuna wanaume hatupendi wanawake wenye bikra na kuna wanaume tunapenda wanawake wenye bikra
 
Rebeca 83 et al huna ‘birika’ hivyo unajitekenya tu, hapo hapo unamsihi binti yako ajitunze asidukuliwe mapema.... kubali tu kuwa ulivuka hiyo hatua as sio kitu cha kutunza milele ila usihalalishe kuwa ‘ile’ sio kitu.
 
Wakuu, pamoja na ukitombi wangu ila likija swala la kuoa na nikampata bikra nitaoa fasta
 
Ulijuaje kua wana Vibamia?
Utamuona mwanaume ni kibamia kutokana na umbo la chungu chako..
Kama Mileage imeenda sana hata ukiwekewa mwichi bado utaona kibamia


Weweeee kibamia ni kibamia tu acha kupamba pamba dfn ya kibamia.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom