Ulijuaje kua wana Vibamia?
Utamuona mwanaume ni kibamia kutokana na umbo la chungu chako..
Kama Mileage imeenda sana hata ukiwekewa mwichi bado utaona kibamia
Kusex na Wanawake lundo nayo ni Sifa?
Ukweli ni kwamba, Wewe kama sio Bikra basi tambua kwamba ukija olewa, umeolewa na Mwanaume ambaye hakua wako, na kwa maana nyingine, utampatia kazi huyo mwanaume yakujitahidi kukuridhisha WEWE . nahuo ndo mwanzo wa Kuanza kumlinganisha linganisha na Mbooo ulizokutana nazo wewe.....
Kuna mmoja alitoa Uzi analaumu wanaume wa kilokole, et Mumewe mlokole yuko zero kimahaba.
Lkn alisahau yakua,, kuruka ruka na wanaume ovyo, umenipa Roho na uzoefu ambao huyo Mlokole alokulia ktk maisha yake ya kilokole imempa ugumu..
Sasa kosa La nani? Wewe binti ulianza ngono namiaka 15 au mlokole aloamua kujitunza mpaka Ndoa ???
Alafu , Mwanamke Bikra hana uzoefu wowote linapokuja suala LA kutendwa na kuumizwa ,, nahii inamchango mkubwa sana ktk maisha yake ya kimahusiano.
Kajiepusha na PID, magonjwa ya zinaa, n.k ...
Hajawahi Toa mimba.
WEWE MWENYEWE UNATAMAN YULE MWANAUME WAKO WAKWANZA , NDIO UNGEKUA NAYE MPAKA SASA !!!
Wewe Utasema yoteee, UKWELI NIKWAMBA BIKRA ATABAKI KUA BIKRA....semea tatizo liko kwetu sisi wanaume kushindwa kuthamin hiyo kitu...
Umri wangu...27--30..Sijaoa, Msukuma ,mashine ipo , Nmeajiriwa,Nina maisha yangu binafsi, mjasiriamali, mkulima, mweusii, Mwonekano wa Kiume...PAMOJA NAHAYA YOTE, SITOKAAA NA NITAKUA MWANAUME WA MWISHO KUKUBALIANA NA UPUUZI ULOANDIKA.
Kusex na Wanawake lundo nayo ni Sifa?
Ukweli ni kwamba, Wwewe kama sio bikra basi tambua kwamba ukija olewa, umeolewa na Mwanaume ambaye hakua wako, na kwa maana nyingine, utampatia kazi huyo mwanaume yakujitahidi kukuridhisha WEWE . nahuo ndo mwanzo wa Kuanza kumlinganisha linganisha na ulizokutana nazo wewe.
Kuna mmoja alitoa Uzi analaumu wanaume wa kilokole ,et Mumewe mlokole yuko zero kimahaba.
Lkn alisahau yakua,, kuruka ruka na wanaume ovyo, kumempa Roho na uzoefu ambao huyo Mlokole alokulia ktk maisha yake ya kilokole imempa ugumu..
Sasa kosa La nani?? Wewe binti ulianza ngono namiaka 15 au mlokole aloamua kujitunza mpaka Ndoa ???
Alafu , Mwanamke Bikra hana uzoefu wowote linapokuja suala LA kutendwa na kuumizwa ,, nahii inamchango mkubwa sana ktk maisha yake ya kimahusiano.
Kajiepusha na PID, magonjwa ya zinaa, n.k ...
Hajawahi Toa mimba.
WEWE MWENYEWE UNATAMAN YULE MWANAUME WAKO WAKWANZA , NDIO UNGEKUA NAYE MPAKA SASA !!!
Wewe Utasema yoteee, UKWELI NIKWAMBA BIKRA ATABAKI KUA BIKRA....semea tatizo liko kwetu sisi wanaume kushindwa kuthamin hiyo kitu...
Umri wangu...27--30..Sijaoa, Msukuma ,mashine ipo , Nmeajiriwa,Nina maisha yangu binafsi, mjasiriamali, mkulima, mweusii, Mwonekano wa Kiume...PAMOJA NAHAYA YOTE, SITOKAAA NA NITAKUA MWANAUME WA MWISHO KUKUBALIANA NA UPUUZI ULOANDIKA.
Heshima ya mwanamke ni bikira, nyie wanawake wote mnaotetea bikira si kitu inawezekana mnamatatizo binafs,,
Sidhan kama mtakuwa teyar mkipata watoto wa kike watolewe bikira ki reja reja kama zenu zilivyotolewa kwa chips kavu. Kaeni mkijua thaman ya mwanamke ni bikira,,,na thaman ya mwanaume ni ulijali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Narudia kusema, Hapo ulipo unataman sana alokutoa bikra ndo angekua Mumeo, Sanaaaa labda kama ulitolewa na Muhuni haeleweki na kama ulitolewa ukiwa na mdogo kiumri .eti aliyekutoa bikira ndio mume wako??! God grief! so na wale wanaume wanaotoa bikira nyingi kwa wasichana...wote hao ni mume wao.
sijajisumbua kuangalia mengine, najua ni PUMBA tu