Ethical Ninja CEH
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 3,695
- 5,042
Baba ndiyo atakuwa ana ni kwichi kwichi?
Baba ana uzoefu wa ndoa, lazima anipe madini. Mbona nyie mnapelekwa unyagoni sijui kichenipatiii....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baba ndiyo atakuwa ana ni kwichi kwichi?
Mkuu kama wewe uliishia form foru D ndiyo mwisho wa elimu yako, haina haja ya kwenda ukweni na kutanguliza baba yangu ni engineer. Pambana na hali yako.Baba ana uzoefu wa ndoa, lazima anipe madini. Mbona nyie mnapelekwa unyagoni sijui kichenipatiii....
Mkuu kama wewe uliishia form foru D ndiyo mwisho wa elimu yako, haina haja ya kwenda ukweni na kutanguliza baba yangu ni engineer. Pambana na hali yako.
Ninamaanisha kijana kuwa mwanume kamili, mweleze baba mkwe kuwa mimi nilimaliza form four majibu hayakuwa mazuri na sasa ninajishughulisha na biashara..... lakini inanipa kipato na binti yako hata lala na njaa. Sasa mambo ya kuanza lakini baba yangu ni engineer ndiyo baba mkwe anashindwa kuelewa upeo wa mkwe kufikiri.maisha hayana formula, situation sio black and white, ina tegemea na vitu vingi sana, inaweza kuwa nzuri au mbaya, huezi kutoa conclusion ya ivo kwa jinsi ulivoelezea. Nadhani kikubwa n kama nyie wenyewe mnaelewana na mmeridhika na hali ya kila mmoja wenu regardless ilivo. Usiwahukumu ndo mahali walipoaanzia kimaisha ulitaka wasemeje sasa. at least wamekua wakweli toka mwanzo.
Uingineera wa baba hauhusiani na mapenzi yetu, kama baba atatoa msaada uwe labda mtaji lakini kama mume wangu uwe na uwezo wa kuamka asubuhi na kutafuta mkate.Ikitokea mume amekufa huyo baba engineer unafikiri atakuacha ateseke na wajukuu wake ? Kuna uwezekano baba engineer kubeba majukumu ya mtoto... Na nyie watoto wa kike muwe wajanja unapo takwa hakikisha huko uendapo kuolewa kuna ka unafuu
Uingineera wa baba hauhusiani na mapenzi yetu, kama baba atatoa msaada uwe labda mtaji lakini kama mume wangu uwe na uwezo wa kuamka asubuhi na kutafuta mkate.
Na uhai wake ukikatishwa ghafla tunarudi tena Kwamtogole kwenye vyumba vyetu viwili? Ukiamua kuoa uwe tayari kupambana na maisha kwa uwezo wenu.Sasa kwani baba akimsaidia mwanae kuna shida gani ? Let say uneole na mtoto wa JPM, mzee JPM akisema muamie kwake kwa ajili ya usalama, huto kula vya baba Jeska na kunya kwenye vyoo vyake ?
Na uhai wake ukikatishwa ghafla tunarudi tena Kwamtogole kwenye vyumba vyetu viwili? Ukiamua kuoa uwe tayari kupambana na maisha kwa uwezo wenu.
Anaweza kutangulia kufa mtoto na wazazi wakakwambia hatuna kikubwa tunaweza kukusaidi kulea wajukuu wetu, na mimi kama mama sitakubaliana na hilo. Lakini main issue here is a man should be proud with who he is instead of addressing his father's position.Je ? Akitangulia kufa mtoto ?
Anaweza kutangulia kufa mtoto na wazazi wakakwambia hatuna kikubwa tunaweza kukusaidi kulea wajukuu wetu, na mimi kama mama sitakubaliana na hilo. Lakini main issue here is a man should be proud with who he is instead of addressing his fathers position.
Kwa upande wangu mimi wazazi wangu wamenifundisha maisha ni kujitafuita mwenyewe na si kutegemea cha mtu. Hii imetusaidia sana nyumbani kuwa na upendo kwani hakuna anaetegemea mali ya mzee kila mtu amejitafutia cha kwake. Hata kama ningeolewa na mtoto wa Bill Gate ningemuongoza mume wangu tupigane na maisha, tunaweza kuomba msaada kama tumekwama.Ivi mkweo akiwa kama JPM au mzee bakharesa au Mengi au Bill Gates kweli kuna kuchacha hapo hata mtoto wao akifa. ? Namashaka tu JPM mzurumati ila hao wengine sidhani kama watakuputa mkwe
Kwa upande wangu mimi wazazi wangu wamenifundisha maisha ni kujitafuita mwenyewe na si kutegemea cha mtu. Hii imetusaidia sana nyumbani kuwa na upendo kwani hakuna anaetegemea mali ya mzee kila mtu amejitafutia cha kwake. Hata kama ningeolewa na mtoto wa Bill Gate ningemuongoza mume wangu tupigane na maisha, tunaweza kuomba msaada kama tumekwama.
😀😀😀 post hii inachekesha lakini ina ujumbe mzito.Tatizo ni lenu mmetulemaza, nakutongoza unaniuliza unafanya kazi gani? Kwani unataka kudate na kazi yangu?
Kwa upande wangu mimi wazazi wangu wamenifundisha maisha ni kujitafuita mwenyewe na si kutegemea cha mtu. Hii imetusaidia sana nyumbani kuwa na upendo kwani hakuna anaetegemea mali ya mzee kila mtu amejitafutia cha kwake. Hata kama ningeolewa na mtoto wa Bill Gate ningemuongoza mume wangu tupigane na maisha, tunaweza kuomba msaada kama tumekwama.