Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Muwe tayari kuzeeka bila kuguswa na mtu yeyote!Siku hizi Mapenzi na pesa ni kama mate na ulimi....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muwe tayari kuzeeka bila kuguswa na mtu yeyote!Siku hizi Mapenzi na pesa ni kama mate na ulimi....
Mkuu hiyo ID yako kikwetu/kule kwetu ni tusi!Ukikaa na uwaridi utanukia, hata wazazi wanaweza muuliza Huyo mchumba hilo swali wakajibiwa hivyo wanaweza wasishtuke kutokana na Hali halisi iko hivi Kama wazazi wetu wananafas Fulani Kwenye Jamii watoto wao wengi Huwa si vijana wa kusota Mitaani wamalizapo elimu za juu Kama wengine chunguza na kutokana na wanawake wengi kupenda kitonga hawez kuona Tofauti na wazazi wetu wakiswahili watafurah kuona mtoto wao kapata kibopa japo kaz Hana.
Pili mwanaume akisema Hana kaz yeye mwanafunzi akaishia hapo anajua chance ya kukupata ni ndogo, japo sio wanawake wote wanatabia Hiyo.
Unazungumzia kuguswa?Muwe tayari kuzeeka bila kuguswa na mtu yeyote!
Unazungumzia kuguswa?
Wakati watu wamewekwa ndani....
Unakutana na mkaka mzuri umempenda kwasababu ni msafi, shati limepigwa pasi au t-shirt aliyovaa imeendana na rangi ya suruali. Mnaanza kuongea, unamwambia mfano kwa wale wa chuo, niko chuo mwaka wa tatu, ninasoma science, hapa confidence inaanza kupungua anakwambia mimi baba yangu ni mkuu wa mkoa wa DSM, hivi mimi ninampango wa kumdate baba yako unavyonianzia hivyo?
Imetokea umempenda, mmedate, sasa muda umefika unamwambia kabisa kuwa plan yako ungependa uolewe uzae angalau mtoto mmoja kabla hujafikiria kufanya maters. Anaahidi kabisa ni yeye atakae kuoa. Unampeleka kwenu anaongea na baba yako, kijana unafanya kazi gani, anaanza mimi baba yangu ni ambassador jamani hapa anaetaka kutoa posa ni baba yako au ni wewe?
IdiotUnakutana na mkaka mzuri umempenda kwasababu ni msafi, shati limepigwa pasi au t-shirt aliyovaa imeendana na rangi ya suruali. Mnaanza kuongea, unamwambia mfano kwa wale wa chuo, niko chuo mwaka wa tatu, ninasoma science, hapa confidence inaanza kupungua anakwambia mimi baba yangu ni mkuu wa mkoa wa DSM, hivi mimi ninampango wa kumdate baba yako unavyonianzia hivyo?