Wanaume wanaotembelea maisha ya wazazi wao

Mkuu hiyo ID yako kikwetu/kule kwetu ni tusi!
 
MIE HUWA SIPENDI PALE UNAPOMTONGOZA MWANAMKE THEN ANAULIZA UNAFANYAKAZI KAZI GANI NA MSHAHARA WAKO KIARI GANI
 
Wanawake wana hiyo tabia ya kuuliza kazi unayofanya na mshahara wako, ukilogwa ukamuambia anakufilisi kwa kukugeuza Baba yake.
 
Mi kuna demu nilishawahi kumtongoza kichuo chuo, unajua alinipa jibu gani!? "Mi si date na wanafunzi!"
Sasa kwa kauli kama hio unadhani kuna kutoboa kweli hapo bila kutumia affiliation ya Mshua.
 

Nikusahihishe tuu sehemu moja katika mada yako, kiutamaduni na mila za jamii nyingi za kiafrika,Baba ndo ana jukumu la kutoa posa na Mahari kwa ajili ya kajana wake wa kiume. Ni vile tuu unakuta wazazi wengi vyuma vimekaza hivyo vijana wanalipa wenyewe mahari.

Ila hayo mambo ya baba yangu ni raisi, balozi nakuacha nayo uendelee kuhoji hao wanaume. Heheheeeh
 
Samahani huwa watu wazima hawaulizani maswali ila je ukishajibu hivyo huwa anafukuzwa au mahusiano ndio yanashamiri
 
Idiot
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…