Wanaume wanaovaa cheni na hereni wanataka nini?


Mkuu SMU huyo.ana utani na JK....pamoja na wateule wake kibao tu....
 
Last edited by a moderator:
Reactions: SMU
Cheni ni pambo la kike, na amelaaniwa mwanaume mwenye kuvaa mavazi/mapambo ya wanawake.kula ujana mkuu, Tuacheni sie tule uzee.

Kwa mujibu wa nani/wapi/nini kwamba cheni ni pambo la kike? Je suruali ni vazi la kike/kiume?
 
Mrembo by Nature hata ww kweli unaweza kutia hoja dhaifu hivi ya kurrelate performance kitandani na uvaaaji wa cheni? Hata siamini

Cc OLESAIDIMU sokwe
Point yangu ni kwamba wengi wao wanaofanya haya ni milenda milenda tu. Japo huenda wapo wachache wanaofanya mambo haya ila wako makini kunako. Ila Kaizer kuwa mkweli, inakuwaje mwanaume anatinda nyusi? anapaka wanja? lipstick, nywele dawa, kusuka na mengineyo?? ni ili iweje sasa?
 
Last edited by a moderator:

Hoja imeungwa mkono kijana wangu
 

Red: Mkuu naona sasa umeanza kuchanganya madesa….unaongelea imani ipi? Kwa akili zako unadhani ni yale tu yanayokatazwa na imani ndiyo mabaya? Mbona huvai sidiria kwa kuwa haikatazwi na imani?

Green: Usiseme mtu…sema MWANAUME. Na je kuvaa hayo madude ya kike kuna MANUFAA GANI? Na asipovaa atapata madhara gani? Hilo ndio swali unalopaswa kujibu kwenye topic hii.

Blue: Sawa….binadamu ana akili na utashi. Je akili na utashi wa kuvaa vitu vya kike ni akili au matope?

Bold red: Kwanini msituambie maana wakati mienendo yenu inaathiri jamii inayowazunguka? Kama mlikuwa na maana zenu ambazo hamtaki tuzijue basi mngeenda mkaishi peke yenu mwezini au kwenye sayari yoyote ambayo mngekuwa hamu-interact na jamii nyingine yenye mambo tofauti na yenu. Hii hoja yako ni ya kitoto sana na inaharibu maana ya mjadala huu. Kama wewe na wavaa mikufu na shanga wenzako unajua hiyo maana na hautaki kuisema, waache wenzako wafunguke…usiwagomeshe kutoa taarifa. Tunataka tujue ni kwanini wameamua kuishi maisha ya kipekee tofauti na wanajamii wengine.

Grey: kufananisha rozali na mkufu ni sawa na kufananisha Yesu na shetani, au kanzu na gauni…hivi ni vitu viwili ambavyo havina mfanano hata kidogo!


TUREJEE KWENYE MADA: Kwanini baadhi ya wanaume huvaa cheni, shanga, mikufu na hereni? Wanataka nini au wanataka waweje na kwa sababu gani? Je, wasipofanya hivyo watakosa nini na wakifanya hivyo wanapata manufaa gani? Hili ndilo swali la msingi linalopaswa kujibiwa ili tuhitimishe hii mada.
 

Hahahaa Mrembo by Nature mada hapa wala haipo kwenye hao wapaka lipustick sijui kutinda nyusi...hapa tatizo ni kuwaweka wanaume wote kundi moja wanaovaa cheni au hata hereni kwamba "wanataka nini hasa" swali ambalo halina premise wala mantiki. Asante though nimekusoma hoja yako.
 
Last edited by a moderator:
Kwahio mshkaji hapa shoga..


Nitakuja uniache na shemeji kidogo kama anamvuto. Halafu ukirudi habari utaipata.
 
Kwahio mshkaji hapa shoga..


Nitakuja uniache na shemeji kidogo kama anamvuto. Halafu ukirudi habari utaipata.

Huyu sio SHOGA ila ni MREMBO...anaonekana SEXY! Na hakuna aliyedai kwamba wanaume wanaovaa mikufu na shanga ni mashoga...ila ni WAREMBO kama walivyo mamiss wenzao!

Unamuona mwenzake huyu hapa alivyo SEXY?

View attachment 159496
 

Hata saaa pia? Wewe si buree
 

Hebu kasome humu!!!!!

1. Faith and religion differences
2. Cultural relativism and ethnocentrism
3. Social constructionism of reality
4. Verstehen; actuele & eclarandes
5. Sexuality and gender; feminism and male chauvinism

Tafuta kitabu cha (author) Philip Konrad Kottak

Halafu kama kweli msomaji fufua tena huu uzi
 

Bado hujajibu hoja zangu....unatumia muda mwingi sana kuji-defend kuliko kujibu hoja straightforward. Kwanini unazunguka mbali hivyo wakati kuna shortcut?
 
Mimi sijaona maaarifa hapo..nmekutolea mfano na majina nmekutajia ila umekimbia ..nauliza tena mtu kama diamond na hemedphd kuvaa hereni na mikufu, kubadilisha nywele rangi unachukulia kama kudumisha mila..!!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…