Wanaume wanaovaa cheni na hereni wanataka nini?

Wanaume wanaovaa cheni na hereni wanataka nini?

Ha ha ha.., hapa mie nakaa pembeni. Mie si mpenz wa chen, pete, kofia, miwani wala heleni, ila sion tatzo mtu akivaa, bt helen big no.
 
Kwenye cheni mie nimeiga kwa Mkapa hapo hamnitoi Pete nimepewa kanisani hapo bora mniua sivui. Hili la skert, hereni, vipuri, na Kata k simo kabisa. Nikivaa vizuri yaani cheni ya gold size, shati nzuri za pale mwenge na pavum ya bei mbaya njoo pale. Masai meridian uone videmu vinavyozimika na mie. Utackia anko nimeluzimiaaa.
 
mi navaa cheni na saa labda ungeniambia heleni tu ningekuelewa... cheni na saa vina tatizo gani, na nani alikuja akasema hivi ni vya mwanamke? designer wenyewe wanaandika "for men" sasa sijui wewe hayo yako umetoa wapi
 
mwanaume kuvaa hereni,cheni haipunguzi nguvu ya manii
 
ni upungufu wa kisaikolojia hivyo hutaka kufidia na vitu kama hivyo. utanashati kwa mwanaume ni muhimu lakini isiwe too much! unamkuta mtu kavaa cheap jewerls kibao, cheap perfumes mpaka anakera na vikolombwezo kibao

namkumbuka babangu (RIP) alinambia nisije kubali kuolewa na mwanaume ambae tunapeana zamu kutumia dressing table. Ipo kichwan kwangu hadi leo.
U-smart muhim ila mwanaume anajiremba kuliko mwanamke? Si majanga hayo?

Hawezi kutoka bila kukaa kwenye dressing table. Loohh.
 
namkumbuka babangu (RIP) alinambia nisije kubali kuolewa na mwanaume ambae tunapeana zamu kutumia dressing table. Ipo kichwan kwangu hadi leo.
U-smart muhim ila mwanaume anajiremba kuliko mwanamke? Si majanga hayo?

Hawezi kutoka bila kukaa kwenye dressing table. Loohh.

au ukiita msusi naye anaita wa kwake
 
Mungu aliumba Dhahabu na Silver kwa ajili ya wanadam. Tuacheni tujivalie micheni yetu mikuubwa kama minyororo. Tunavaa kwa raha zetu.
 
Wanaume kama mabinti. Micheni, mihereni, poda, kutinda nyusi yote haya nimeyaona yanafanywa na baadhi ya wanaume wa siku hizi... basi mkafanye surgery mjiwekee na matiti ili mvae hadi brazia...mfyuuuuuuuu
 
Vipi kuhusu kusuka? Kuna mwanamuziki wa Hip Hop al maarufu kama jeshi la mtu mmoja. Yeye hupendelea kusuka rasta
Hiyo imekaaje,
 
Last edited by a moderator:
kwenye cheni sikubaliani na mtoa uzi hata kidogo!tuache ushamba!

kwani kuvaa cheni (MKUFU) na HERENI kwa mwanaume ndio USASA? fanyeni hata USHOGA basi--kwani hata ushoga si ni wa kisasa?
 
Sidhan kama cheni ina shida..mkuu labda huna hela ya kununua silver useme!!

cheni, mikufu, shanga, bangili, hair pins, nk, hivi vyote ni vifaa vya kike. kwani wewe unaona kawaida tu ukivaa hivi vifaa vya kike? angalia sana kuna siku utavaa brassier!
 
Mh,kwenye hereni sawa ila hata cheni? Na pete? Je zile za harusi na engagement ring? We umezidi ubandidu mkuu...TOKELEZEA...

Mkuu, hivyo vyote ni vifaa vya kike tu. Pete ukishafanyia shoo siku ya kufungua ndoa, ukifika nyumbani ivue na kuihifadhi kwenye sanduku kwa ajili ya kumbukumbu, sio kutwa kucha umevaa mipete hadi vidole vinachimbika wewe umengangania mipete ya kike! umeona eeh?
 
Back
Top Bottom