wanaovaa ndo mashoga hata mm nawachukia sana wanaume wanaovaa hereni sijui wanataka wafanyiwe nn???
Duh brazaaaaa tumia tafsida.Kutombwa au kufirwa
ni upungufu wa kisaikolojia hivyo hutaka kufidia na vitu kama hivyo. utanashati kwa mwanaume ni muhimu lakini isiwe too much! unamkuta mtu kavaa cheap jewerls kibao, cheap perfumes mpaka anakera na vikolombwezo kibao
yalishatimia..!! upo nyuma sana ndugu., DIAMOND PLUTNUM alivaa what you call 'skirt'!!!.
namkumbuka babangu (RIP) alinambia nisije kubali kuolewa na mwanaume ambae tunapeana zamu kutumia dressing table. Ipo kichwan kwangu hadi leo.
U-smart muhim ila mwanaume anajiremba kuliko mwanamke? Si majanga hayo?
Hawezi kutoka bila kukaa kwenye dressing table. Loohh.
Sidhan kama cheni ina shida..mkuu labda huna hela ya kununua silver useme!!
Mh,kwenye hereni sawa ila hata cheni? Na pete? Je zile za harusi na engagement ring? We umezidi ubandidu mkuu...TOKELEZEA...