Wanaume wanaovaa cheni na hereni wanataka nini?

Na wakisifiwa wataongeza pete kubwa kubwa;bangili;wanja;lips stick; mwishowe wanakuwa washindan wa wanawake.Wanaanza kupakatwa kwa kufikiri wanawake wanafaidi sana.....poa waarabu wanawasubiri endelea kujipodoa isitoshe malinda ni yako.

What a bunch of morons!!!
 

Na mfukoni huna nauli ya kukupeleka mbagala.
 

Vipi wanawake kuvaa suruali na viatu visivyokuwa na tofauti na wanaume? Does it change who they are? Vp wamasai? Imeandikwa wapi kuvaa cheni ni wanawake? You kind a stereotype.mababu zetu walivaa vibwaya vya majani na wake zao havikua na tofauti! What are you sayin about that?
 
Cheni na hereni maamuzi ya mtu. Wengine hapa ushamba unawasumbua
 
Huu mjadala tpaul umeuanzisha tayari ukiwa na upande....au hitimisho..kama alivosema Ablessed tungekuwa norw objective kama tungejua chanzo....google ipo..sio kazi ngumu kujua

Ila kuwahukumu wengine kwa kuvaa sio sawa kwa sababu huwezi kulazimisha moral standards zako kwa mwingine...tamaduni zetu zinatofautiana..malezi yanatofautiana..ww kwa mfano umekulia Sitimbi kimalezi huweI kiwa sawa na aliyekulia mjini au jamii nyingine

Kwako unao a kuvaa cheni na vito vingine ni ukengeufu ila kwa wengine tunaona sawa.

Kuitana majina mara shoga sijui nini haileti maana...we must accept our differences..whom are we to judge?

Mi sioni tatizo kwa mwanaume kutupia cheni yake au pete..hivi hata za ndoa nnesuggest tuweke sandukuni? Ili iweje sasa?
 
Last edited by a moderator:
Na huyu anajiita mwanaume eti madai yake hiyo tite na viatu kavinunua duka la kiume south africa.
 

Attachments

  • 1400593217870.jpg
    18.2 KB · Views: 125
cheni, mikufu, shanga, bangili, hair pins, nk, hivi vyote ni vifaa vya kike. kwani wewe unaona kawaida tu ukivaa hivi vifaa vya kike? angalia sana kuna siku utavaa brassier!

Acha mambo ya jumla jumla kaka kuna cultural diversity kubwa sana na popular culture ipo pia so kile we unaona mbaya kwe wengine ni poa tu sasa kama unaona hata baadhi ya vitu kama mikufu na bangili ni ishu kwako wengine kwao ni mila kama ma singh bangili kama kawa ukija huku maasaini mikufu ni kama kawa.....!!!!!!!!

Vifaa vya kike vinaweza kuwa ni A katika jamii X na B katika jamii Y...............!!!!!!!!!!!!!
Sio kwa ujumla ki hivyo
 
we ni shoga

Shoga? Mbona hueleweki? Shoga ni yule anayejiremba mithili ya mwanamke au huyu anayechukia tabia za kujifananisha na wanawake?
Bila shaka umechangia mada hii au ukiwa unapata mbili baridi au umekurupuka na kuchangia bila ya kusoma sawa sawa mleta mada alikuwa anasema kitu gani!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ni kweli ili tupate muafaka wa huu mjadala ni lazima kwanza tuwe neutral maana bila hivyo kutakua na ubishi mwingi. Kama ulivyosema au wachangiaji kadhaa walivyokwisha changia ni kwamba tuna tofautiana tamaduni zetu na malezi. Huu mchanganyiko wa tamaduni na malezi umebadili sana jamii yetu. Kwa mfano kuvaa pete ambazo si za ndoa, niliona wanaume kadhaa wakati nakua wakivaa pete na ni miaka mingi kiasi iliyopita tena walikua wanavaa pete zilizotengenezwa kwa shanga au pete zenye herufi hivi n.k. Halikua jambo la ajabu tulipoona hayo na wala jamii haikujali. Hizi cheni nimeona wanaume wakivaa na sijui kama ilikua taabu.

Kuna mahala nilikwenda nikakuta mtoto wa miaka 2 amesukwa nywele nilishangaa sana ikabidi nimsimulie mwenyeji wangu nae akaniambia ni utamaduni wao hivyo wazoee tu. Basi ktk pita pita yangu nikakuta mtoto wa miaka 9 amevaa hereni nikauliza tena kulikoni jamani ina maana wazazi hawaoni kama mtoto anavaa hereni . Nikaambiwa hereni ile alipewa na wazazi siku ya birthday yake, sio siri niliduwaa. Sasa kwanini nimeeleza haya yote ni kutaka kuonyesha kuwa dunia imekua room na si kijiji tena. Kwa hiyo ni rahisi sana kujikuta tunapractice tamaduni mbali mbali kama ilivyo asili ya binadamu hupenda kujaribu/kuiga.

Nihitimishe hivi naomba tujadiliane kwa kina ili tujue je haya mambo tunayoona ni kweli ni mageni au yalikuwepo toka zamani. Na kama yalikuwepo ni makabila gani hasa yalikua yanafanya hayo na pia impact yake kwenye jamii imekuaje/ikoje. Nakumbuka huko nyuma kulikua na hadithi nyingi juu ya kina mama kuweka dawa za nywele hatimae ikazoeleka na ikawa sehemu ya urembo.
 
Wengine na "lipshine" juu....


Sent from my iPhone using JamiiForums app

Ukiwa nchi za magharibi kutumia lip shine ni kawaida kipindi cha baridi vinginevyo lips zitababuka ngozi na kuanza bleeding! Sasa sijui utakataa kwasababu ya kuogopa kuitwa mwanamke, kuna lip shine za urembo na nyingine kwa ajiri ya dry lips regardless ni mwanamke au mwanaume jamani mbona mna ushamba hivyo.
 
Kama hujielewi baba mababu zako walikuwa masharobaro sio..?!
 
Mbona unadanganya watu..sio lipshine ni dawa za kupaka kwenye midomo kama balm lip.. lipshine zinazuia kubabuka au zinafanya midomo ingae kama ya mwanamke..?
 
I think u know mtoa uzi kamaanisha nini..huko kwenye singa na nini tuache hizo visingizio...najua kabisa unajua kamaanisha nini..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…