Huu mjadala
tpaul umeuanzisha tayari ukiwa na upande....au hitimisho..kama alivosema
Ablessed tungekuwa norw objective kama tungejua chanzo....google ipo..sio kazi ngumu kujua
Ila kuwahukumu wengine kwa kuvaa sio sawa kwa sababu huwezi kulazimisha moral standards zako kwa mwingine...tamaduni zetu zinatofautiana..malezi yanatofautiana..ww kwa mfano umekulia Sitimbi kimalezi huweI kiwa sawa na aliyekulia mjini au jamii nyingine
Kwako unao a kuvaa cheni na vito vingine ni ukengeufu ila kwa wengine tunaona sawa.
Kuitana majina mara shoga sijui nini haileti maana...we must accept our differences..whom are we to judge?
Mi sioni tatizo kwa mwanaume kutupia cheni yake au pete..hivi hata za ndoa nnesuggest tuweke sandukuni? Ili iweje sasa?