Watu ka nyie ndonawaencourage alafu baadae mnasema siku hizi hamna wanaume..mnawafanya mpaka wavae skin jeans ..Cheni inamfanya mwanaume aonekane sexy....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu ka nyie ndonawaencourage alafu baadae mnasema siku hizi hamna wanaume..mnawafanya mpaka wavae skin jeans ..Cheni inamfanya mwanaume aonekane sexy....
Mkuu kuwa msafi kukata kucha nywele inatosha..ila cheni na nini ni femenine behavior..sidhani kama ni poa kabisa..Niwe mkweli saa yangu mkononi saa nzuri ya 200k au 300k , cheni yangu ya silver nyembamba isiyokua na kidani na visuruali vyangu kadet na vishati vyangu vya kunienea na sio oversize na ichwani nywele zangu fupi na kwenye kidevu hakuna ndevu huku kucha za mikono zikiwa fupi na nina nukia utuli ndo hua navaa halafu leo uhamasishe niache kuvaa cheni?? Whaaaat shit is this
Wewe ni ke au me..haitakiwi pia kutumia haya manenoMleta mada umejawa wivu mpka shetan nae anakuogopa khaah
Sent from my iPhone using JamiiForums.
Duh kuna kitu hakipo sawa hapa..ila ni malezi wakati mwingine..Sasa tukikueleza habari za kuosha kucha kitaalam, scrubing kama sio mask, facial levent na pimpos disout , hair sprayin, tutakua tumekutukana sana pole aseeeee mutuwache sie wavaa cheni tuendeleeee na yetu mbona hatujasema msiovaa mnatuudhi?
Inashangaza kweli..hivi mnatetea kuvaa cheni na hereni..ndo maana bongo hapo hata mjini kama posta unakuta vijamaa vya ajabu ajabu tu..mi navaa cheni na saa labda ungeniambia heleni tu ningekuelewa... cheni na saa vina tatizo gani, na nani alikuja akasema hivi ni vya mwanamke? designer wenyewe wanaandika "for men" sasa sijui wewe hayo yako umetoa wapi
Na kunawanaume wanatetea hapa kwenye huu uzi..mm nlikua nafanya kazi sekta ya afya bongo mjini posta hapo..nlikua nikiona akija mshkaji gentleman na mabrazamen..hata uelewa wa mambo ni tofauti, lkn hata aina ya shida zao ni tofauti..lkn mademu wanawafagilia sana ndo nashangaa..yaani unakuta mtu yupo na mtu anavaa vichupa chupa tu mpaka najiuliza inakuaje..ila ndo ukipita kwenye mitandao hata hapa wanawake wanalalamika wanaime hawawezi kazi na nini..ila unakuta wanadate na wavaa cheni na wavaa hereniWanaume kama mabinti. Micheni, mihereni, poda, kutinda nyusi yote haya nimeyaona yanafanywa na baadhi ya wanaume wa siku hizi... basi mkafanye surgery mjiwekee na matiti ili mvae hadi brazia...mfyuuuuuuuu
Pete ya ndoa iko poa mkuu..tofauti na ile mipete ya rangi rangi..tusitete vitu vya ajabu..unakuta mwanamme kava mapete mikono yote na hadija kopa anavaa nini mkuu..tuache hizo..Ila hata viongozi wa dini zote kubwa yaani waislam na wakristo wanasisitiza wanandoa hata baada ya ndoa zao wazivae ili kuondoa/kupunguza usumbufu na maswali maswali mkuu.
Unajua mkuu mm naishi magharibi nipo nao shule..hizo mambo za kina lil wayne za kwenye tv ..mtaani hazipo..nmekuja kugundua watu waharibiwa sana na tv..hao watu wanaovaa hereni na milege wapo..lkn hamnatatizo lao hao baadhi ya mamen ni ulimbukeni kuiga vitu vya watu wa magharibi bila kujua wanavaa kwa sababu gani,kama tunavyojua huko magaribi wengi mashoga je na ninyi ni mashoga?mwanaume mzima unajiremba mapoda na kujipodoa ili iweje na wengine hadi sketi wanavyaa nimeona laiv kwa macho yangu wengine hadi kiunon mtoto wa kiume unavaa cheni kiunoni?Mungu awasamehe pingine hamjui mlitendalo
Pete ya ndoa iko poa mkuu..tofauti na ile mipete ya rangi rangi..tusitete vitu vya ajabu..unakuta mwanamme kava mapete mikono yote na hadija kopa anavaa nini mkuu..tuache hizo..
Na mkuu hili jambo limekuwa sana hasa bongo hapo na nadhani pia like proportional na ile kasumba inayoendelea kwamba watoto hawataki kusoma kila mmoja anataka kuwa mwanamziki au bongo muvi.. Kwa hiyo mtu anajiweka kisani kisanii mapema..lakini na nchi maskini media za kimagharibi zimechukua nafasi kubwa sana.. Na magharibi hizo ishu zinafanywa na celebrities kutengeneza identity na brandy ili mtu apige ela na awe juu..akitoka kwenye media unakuta mtu yupo normal tu bongo tunafanya ndo maisha ya kila siku..mtu anaenda hospital cheni na hereni, bank na micheni, kwenye msiba,..na uswahili unakutana na ile ya kiswazi swazi ya uchafuu..ila na elimu nayo angalia tofauti ya raper niki wa pili na chid benziUnajua mkuu kwenye huu mjadala tukitaka tupate muafaka ni lazima tuanze kuchimba huu utamaduni wa kuvaa hereni kwa wanaume umeanzia wapi/nchi gani. Tukimaliza hapo ndio tuje kujadili kama utamaduni huu hatukuuona hapo nyuma je kimetokea nini mpaka sasa tunayaona haya kwenye jamii yetu. Lkn kama tutajadili kwa kubishana nani mshindi au nani anapenda na nani hapendi hatutapata majibu sahihi. Kwa nionavyo mjadala huu ni hot kweli kweli, hebu wadau tuendelee kumwaga nondo kwa mwenye kujua historia ya hii kitu japo kidogo atutupie.
Mi inanishangaza mkuu na watu wanatetea kabisa..ila kuna baadhi ya mademu wasijitambua ndo wanawaendekeza hii dizaini ya watu...ila ukichunguza sana hawa watu wanakuaga na videmu vitinegers au wale masistadu wanaoigiza maisha ya muvi za wafilipino..hahahahahaha! mkuu, nimecheka sana--kama vile naisikia sauti yako jinsi unavyowafokea hawa wanaume kengeufu wanaopenda kuvaa hereni na cheni, halafu wanatetea huo ujinga using cheap statements....wamelaaniwa hawa sio bure!
Sasa tujiulize nini chanzo cha kumomonyoka kwa maadili au ni kwanini identity yetu kama watz inapotea. Kwa mfano watangazaji wa redioni n.k je nao wamechangia kumomonyoka kwa maadili kwamba pengine vijana wamewaona hao nao wakaona poa tu. Tujiulize hii kitu imeanzia wapi na kwanini ipo/inaendelea kujiimarisha kwenye hii jamii yetu.Na mkuu hili jambo limekuwa sana hasa bongo hapo na nadhani pia like proportional na ile kasumba inayoendelea kwamba watoto hawataki kusoma kila mmoja anataka kuwa mwanamziki au bongo muvi.. Kwa hiyo mtu anajiweka kisani kisanii mapema..lakini na nchi maskini media za kimagharibi zimechukua nafasi kubwa sana.. Na magharibi hizo ishu zinafanywa na celebrities kutengeneza identity na brandy ili mtu apige ela na awe juu..akitoka kwenye media unakuta mtu yupo normal tu bongo tunafanya ndo maisha ya kila siku..mtu anaenda hospital cheni na hereni, bank na micheni, kwenye msiba,..na uswahili unakutana na ile ya kiswazi swazi ya uchafuu..ila na elimu nayo angalia tofauti ya raper niki wa pili na chid benzi
Siku hizi ni kawaida kumkuta mwanaume amevaa cheni shingoni au hereni masikioni. Tena utamkuta mwanaume mwenye akili zilizotimia (achilia mbali mateja) amevaa hereni na cheni kubwa huku akijiona mjanja! Huu ni ujanja au ni dalili za kukengeuka?
Tangu dunia hii ilipoumbwa, inajulikana kwamba urembo ni kwa ajili ya wanawake. Mwanaume hata ukiwa rafu ni pouwa tu--hakuna mtu atakayekushangaa, tofauti na ilivyo kwa wanawake. Mwanamke ni kiumbe anayejisikia kuonekana nadhifu na mrembo nyakati zote. Hivyo hupenda kuvaa vifaa vya urembo kama vile hereni, mikufu, pete, vidani, bangili, nk. Sasa wale wanaume wanaovaa vifaa hivi vya KIKE tuwaweke fungu gani? Si wavae na sketi kabisa ili tujue moja?
Kwa kweli wanaume wenzangu wanaovaa pete, hereni na mikufu wananiudhi sana. Mimi siwezi hata kuvaa saa kwa kuwa inanifanya nijihisi nimevaa bangili! Sasa iweje wanaume na ndevu zao watamani kuvaa urembo wa kike?
Naomba tujadiliane BILA JAZBA hadi jibu lipatikane. Samahani sana, najua hata humu JF wavaa hereni wamo.
Huwa najiuliza sipati jibu laki nadhani ni mchanganyiko wa mambo matatu..low literacy, umaskini na poor parenting skills..Sasa tujiulize nini chanzo cha kumomonyoka kwa maadili au ni kwanini identity yetu kama watz inapotea. Kwa mfano watangazaji wa redioni n.k je nao wamechangia kumomonyoka kwa maadili kwamba pengine vijana wamewaona hao nao wakaona poa tu. Tujiulize hii kitu imeanzia wapi na kwanini ipo/inaendelea kujiimarisha kwenye hii jamii yetu.
Na chain ni ya kazi gani..saa enzi hizi za simu kila kitu inaumuhimu huo kweli..Kwa swala la heren nakuunga mkono ila kwa cheni na saa,hapana hapo uko peke yako....moja kati ya cfa kuu ya gentlemen ni kukeep time,sasa utakeep vipi time kama huna saa??
Fikiria tena mkuu
Kama ben kinyaia mkuu..Na mwanamke aonekaneje?
Mimi ninachojua ni kwamba u-sexy ni kwa ajili ya wanawake tu--mwanaume anasifiwa kwa kazi na pesa sio kwa kuonekana SEXY! Kama kuna aliye handsome, hiyo inatosha. Mikufu, vidani na bangili kwa wanaume vya nini?
Sijatetea kuvaa hereni, na nimesema navaa cheni na saa peke yake which i don't find in anyway related na mawazo machafu uliyonayo.... Zamani watu walikua hawavai hata shati walikua wanafunika sehemu za siri tu, zikaja shorts, zikaja suruali, tshirts, shirts na wavu wanavaa, sasa mtu kuvaa cheni we kama inakuuma shida zako tu, afu unaita watu wa ajabu ajabu, au kwa sababu hatuwezi kukuona humu JF umejichunguza kwanza ukahakikisha uko perfect kabla ya kusema wenzako wa ajabu?Inashangaza kweli..hivi mnatetea kuvaa cheni na hereni..ndo maana bongo hapo hata mjini kama posta unakuta vijamaa vya ajabu ajabu tu..
Akili ninayo kukuzidi hilo wala halihusiani na kuvaa cheni wala kitu kuandikwa for men au women... Na ndio maana designers wana akili kutokuweka neno "for men" kwenye skirt na ni kitu hakitotokea sababu wanajua its not for men... Mbona unajaribu kulazimisha negativity... what exactly do u want to prove? kama kitu kinakuboa potezea hujalazimishwa kuvaa cheni... kila mtu ana maana yake anavovaa kitu, sawa na pete, mbona same materials hutengeneza pete hutengeneza cheni, sasa labda unambie hadi pete hutaki labda ntakuelewa...Kitu chochote kikiandikwa 'FOR MEN' tayari kinakuwa cha kiume? Hata always ikiandikwa 'for men' utachukua utavaa? Una akili kweli wewe? Basi waambie hao madisigner wakudisainie sketi, shanga na brassier halafu waviandike 'for men' kisha uchukue ukavae.