Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nothing I hate than a pick me , male identified bi***Wanaume wengi wanapendana, upendo wao siyo wa kinafiki, hata kusaidiana wanasaidiana.
Hata ndoa nyingi wenye shida ni wanawake.
Tabia za kuzaliwa nazo, wakiongeza na vitabia vya shule/vyuo na tabia za mashosti, wanawake wanakua na roho mbaya ever.
Miaka ijayo hope after this karne, ndoa zitabakia chache sana, watu hawatavumiliana, wanawake hawakunjiki.
Anyway ngoja tuone
Mbona mwanamke anaachwa kiraisi na machizi wanaendelea urafiki....mpaka ata pasi zinapigwa...through pass za touch moja iwe goli. Utaskia "yule ni ex wife wangu, mi na naniii tushapita apo....kama unajiskia fanya yako"Ila sidhani kama kuna mwanaume mwenye urafiki na mwanaume aliyegegeda mkewe, hapo tusitaniane kabisa wanaume 😁
😳😳😳😳😳
Sijaelewa kukunjana gani unaongelea
😂😂 Huyo ni mmoja wa wasiopenda wanaume .. Hana mahusiano na sisi kabisaa.😳😳😳😳
Sijaelewa kukunjana gani unaongelea
Unamaanisha Men are from Mars, Women are from Venus.Wanawake ni viumbe kutoka sayari tofauti na wanaume
Sawa😂😂 Huyo ni mmoja wa wasiopenda wanaume .. Hana mahusiano na sisi kabisaa.
Kaa mbali kijana😂😂
#Wanyakyusa mnisamehe