Wanaume Wanapendana Kuliko Wanavyowapenda Wanawake | Kainetics

Wanaume Wanapendana Kuliko Wanavyowapenda Wanawake | Kainetics

Wanaume lazima tuwe strong kwasababu tumebeba mambo mengi sana na nature yetu inatubeba sana kukabiliana na changamoto mbali mbali za duniani.
 
Umenena
Wanaume hata tusipopendana ikitokea dili la pesa ni rahisi sana kuunganika pamoja maana msingi wa maisha yetu ili tuishi ni kazi

Tofauti na wanawake hawapendani sbb maisha yao wanategemea mwanaume
 
Umenena mkuu
Binafsi Ni rahisi sana kuvunja mahusiano na mwanamke ili kulinda urafiki na Mwanaume mwenzangu

Coz mahusiano kwangu huwa nayachujulia Ni kitu Cha kupita na kisicho na faida ya Maana sana ukiondoa suala Zima la ngono.

Ila urafiki Unaweza kua wa kudumu na ukawa na manufaa mengi sana pande zote mbili
 
Urafiki Bora wa muda wote
ktk hii Dunia ni mwanaume vs wanaume. Ukifuatiwa na urafiki wa wanaume vs wanamke.
 
Uhusiano wa kimapenzi una migogoro mingi sababu Kuna unafiki sana. Wapenzi au wanandoa hawawi wakweli.

Pia uhuru wa kimaongezi haupo.
 
Wanaume ni miungu!! sababu waliumbwa kwa mfano wa Mungu aliye hai!!…..Mungu wa Ibrahimu Isack na Yakobo! Na Mungu ni Utatu Mtaktifu daima!....ni mfanoo wa Baba aliye juuu!

Lindugu la familia likioa tu utaona linavo wabadilikia utadhani mjeda wa polisi mpaka life kifo likiwa ivoivo!......likiona mke wake anavo kunyanyasa, bagua, kuku sema basi linafurahiiiiii kimoyo moyo!

halikomi mpaka kifo
 
Haha kuendeshwa na mbususu... Nimekupata mkuu
Zisingekuwa Mbususu bin papuchi zao hizo ! au km kungekuwa na Mbadala wa mbususu mademu wangekoma haswa nakwambia!...wangetembea mpaka wachakae!!...

ivo tu wanazo lkn mabaharia wanazichakaza wanaziacha!! siku hizi hatuoi ajili ya haki sawa!...eti nipigike weee!! nijenge nimgawie mke shabash!! wee ukipata hela tafuta shule tu!! usijenge! km Baba yako amesha jenga utaishi huko
 
Back
Top Bottom