Wanaume Wanapendana Kuliko Wanavyowapenda Wanawake | Kainetics

Nothing I hate than a pick me , male identified bi***
 
Ila wanawake mioyo yetu ipo juu juu mno.

Uvumilivu hatuna mmmh,

Kidogo tu, we should revenge, ni shida
 
Ila sidhani kama kuna mwanaume mwenye urafiki na mwanaume aliyegegeda mkewe, hapo tusitaniane kabisa wanaume 😁
 
Kha!!!
Ila sidhani kama kuna mwanaume mwenye urafiki na mwanaume aliyegegeda mkewe, hapo tusitaniane kabisa wanaume 😁
Mbona mwanamke anaachwa kiraisi na machizi wanaendelea urafiki....mpaka ata pasi zinapigwa...through pass za touch moja iwe goli. Utaskia "yule ni ex wife wangu, mi na naniii tushapita apo....kama unajiskia fanya yako"

That is, kama jamaa alibaki na akili zake za kiume baada ya kufall in love...maanake vichaa wengine anakuwa kama hatawai pata mbususu ingine so anainvest more than his life kwa iyo inakuja kumuuuma. Hawa ndo wale akioa lazma dunia ijue wife ni pisi kali....akinuniwa nyumbani ataosha mpaka vyombo. Hao wanakuaga sio wanaume tena kwa iyo usi wa include.

Wanaume wanakuambiaga "bros over hoes"...ata awe na pisi ikoje. Hatetemeki
 
Nyongeza:

Wanaume kwa Wanaume: We ni mbwa 🀣🀣🀣 (Complement, Anamaanisha)

Wadada kwa Wadada: Umependezaa! (Kimya kimya: Ila sio kivilee)
 
Na wanapenda haswa, Yaan ukiona wanavyokunjana bila huruma....aisee lile game wangekuwa wanapewa Wanawake hakika ndoa nyingi zingedumu😏
 
Na wanapenda haswa, Yaan ukiona wanavyokunjana bila huruma....aisee lile game wangekuwa wanapewa Wanawake hakika ndoa nyingi zingedumu😏
😳😳😳😳

Sijaelewa kukunjana gani unaongelea
 
Viburi, Ushindani, Ujuvi, Ukuu, UNAFKI, Umbea, Uchochezi, Majigambo, Kujiona...
shida ni kwenye kuridhisha HISIA zao TU.
Kama walivyo kutaka vingi kwa wakati mmoja... Watapishana tu😎
 
Binafsi Ni rahisi sana kuvunja mahusiano na mwanamke ili kulinda urafiki na Mwanaume mwenzangu

Coz mahusiano kwangu huwa nayachujulia Ni kitu Cha kupita na kisicho na faida ya Maana sana ukiondoa suala Zima la ngono.

Ila urafiki Unaweza kua wa kudumu na ukawa na manufaa mengi sana pande zote mbili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…