Uliza Nkujibu
JF-Expert Member
- Sep 14, 2016
- 806
- 640
Nilidhani nimeitazama vibaya avatar ya mleta uzi........ [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Aisee,kumbe ww ni ME?
Hicho kinyaa cha wanawake, kina wahusu mama+shangazi na hata dada zako?Hata tungekua tunatembea uchi wanawake wangetia kinyaa sana
Toba....... [emoji87] [emoji87]Mwanaume gani una sauti nyororo hivi!? Km ni me kweli utakuwa punga bila shaka.
Ufikiriaji wa mwendokasi [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hizi aina zingine za ufikiriaji !!!!!
Kumbe ndio maana.... [emoji47] [emoji47]Wewe ni MVULANA
Ndio mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sura ya kazi
Af kuna jamaa anatumiaga hii avatar
Sura ya kazi
Wale wanaoongoza kwa tafiti bongo.kuwa kopi akina nani ?
Kwa mara ya kwanza namsoma me akijisifia kwa uzuri, kuna mapungufu sehemuKwa utafiti wangu nilioufanya kwa muda mrefu hatimaye leo nathubutu kusema kuwa sisi wanaume tuna sura nzuri kuliko wanawake
Ukitaka kuthibitisha hilo , wanaume huwa hatuna mambo mengi tukitaka kutoka unapakaa mafuta yako ya mgando unachana nywele zako chapu chapu umemaliza
Hatuchukui zaidi ya dak 45 kujiandaa
Lakini kwa wanawake wanachukua zaidi ya masaa matatu kupaka ma make up ya kufa mtu ili abadilike kwa kuwa wengi wao wakitoka bila make up huwa hawavutii kabisa
Kingine kinachothibitisha kuwa sisi ni wazuri zaidi ya wanawake ni kitendo cha kuoa wanawake zaidi ya mmoja
Yan wanawake 10 wanatafuta nafasi ya kuolewa na mtu mmoja na kati ya hao wanne tu ndo wanachaguliwa
Lakini kutokana na wazungu kuwa washenzi wamebadilisha hii kitu
Eti leo hii wanaume ndo tunawahangaikia wanawake badala ya wao kutugombania sisi
achana na avatar yangu pls hivi lazima uchukue avatar ambayo mtu anatumia ww mwanaume unatumiaje avatar ya mwanamke nakusemea kwa modsKwa utafiti wangu nilioufanya kwa muda mrefu hatimaye leo nathubutu kusema kuwa sisi wanaume tuna sura nzuri kuliko wanawake
Ukitaka kuthibitisha hilo , wanaume huwa hatuna mambo mengi tukitaka kutoka unapakaa mafuta yako ya mgando unachana nywele zako chapu chapu umemaliza
Hatuchukui zaidi ya dak 45 kujiandaa
Lakini kwa wanawake wanachukua zaidi ya masaa matatu kupaka ma make up ya kufa mtu ili abadilike kwa kuwa wengi wao wakitoka bila make up huwa hawavutii kabisa
Kingine kinachothibitisha kuwa sisi ni wazuri zaidi ya wanawake ni kitendo cha kuoa wanawake zaidi ya mmoja
Yan wanawake 10 wanatafuta nafasi ya kuolewa na mtu mmoja na kati ya hao wanne tu ndo wanachaguliwa
Lakini kutokana na wazungu kuwa washenzi wamebadilisha hii kitu
Eti leo hii wanaume ndo tunawahangaikia wanawake badala ya wao kutugombania sisi
Nafikiri mmemchanganya na shunieAisee,kumbe ww ni ME?
Nisamehe bure sikuwahi kuwaza we ni me[emoji40][emoji32]
Avatar yakeNafikiri mmemchanganya na shunie
nilishamwambia asitumie avatar yangu hanielewi
Sina yoyote na huyo chizi simjui hanijui mmHizi gia nyingine bwana au mna yenu ya ziada