Wanaume wanasura nzuri kuliko wanawake

Wanaume wanasura nzuri kuliko wanawake

nadhani mtoa mada alitaka kumaanisha sisi wanaume tunajikubali kuliko wanawake. msimjaji vbaya asee.
 
Aisee,kumbe ww ni ME?
Nilidhani nimeitazama vibaya avatar ya mleta uzi........ [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kumbe ni ME..... [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
17eda021e05e0d6eec2f79eabacd6f80.jpg

Sura ya kazi
 
kuna kaukweli fulani hapo..
haka ka utafiti umekafanya kwa kuruta nini?
maana kuna madawili yanakuaga kama ngorongoro sugu..!
 
Kwa utafiti wangu nilioufanya kwa muda mrefu hatimaye leo nathubutu kusema kuwa sisi wanaume tuna sura nzuri kuliko wanawake

Ukitaka kuthibitisha hilo , wanaume huwa hatuna mambo mengi tukitaka kutoka unapakaa mafuta yako ya mgando unachana nywele zako chapu chapu umemaliza

Hatuchukui zaidi ya dak 45 kujiandaa

Lakini kwa wanawake wanachukua zaidi ya masaa matatu kupaka ma make up ya kufa mtu ili abadilike kwa kuwa wengi wao wakitoka bila make up huwa hawavutii kabisa

Kingine kinachothibitisha kuwa sisi ni wazuri zaidi ya wanawake ni kitendo cha kuoa wanawake zaidi ya mmoja

Yan wanawake 10 wanatafuta nafasi ya kuolewa na mtu mmoja na kati ya hao wanne tu ndo wanachaguliwa

Lakini kutokana na wazungu kuwa washenzi wamebadilisha hii kitu

Eti leo hii wanaume ndo tunawahangaikia wanawake badala ya wao kutugombania sisi
Kwa mara ya kwanza namsoma me akijisifia kwa uzuri, kuna mapungufu sehemu
 
achana na avatar yangu pls hivi lazima uchukue avatar ambayo mtu anatumia ww mwanaume unatumiaje avatar ya mwanamke nakusemea kwa mods
 
Back
Top Bottom