Wanaume wanasura nzuri kuliko wanawake

nilishamwambia asitumie avatar yangu hanielewi
Pole kwa masahibu yalokukuta aiseeee....
Manzo kabisa wa uzi nilijua wewe ndie umeleta hii thread aiseeee.... [emoji23] [emoji23]
Baada ya kusoma I'd, ndipo nika ng'amua nimeingia choo cha wavulana[emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
nilishamwambia asitumie avatar yangu hanielewi
Alafu........
Skuizi hawa moderator wamekua wanaa sana......
Kuna jamaa aliweza uzi saa tisa Usiku ukimhusu muke ya mizungu akimnanga mke wa namba moja hapa nchini.... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kweli mange kiboko aiseeee.......
Hajatiririka jinsi ma[emoji356] alivyo mpa kipigo mwandani wake.... [emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19] hadi kupelekea akalazwa pale Hospital kubwa ya hapa kwenye nchi yetu....
Aghh..... Kiranja wa zamu ghafla aliufuta ule uzi, ilhali yule mpare akiwa kisha mwaga mboga na ugali.... [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Mange alivyo na jeuri, akaweka hadi kisa eti mtoto hakua ameenda shule.
Ebungoja niishie hapa aiseeee....
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Mmmh unapaka mafuta ya mgando wewe unaishi mkoa gani ,kuna tofauti gani ya grisi na mafuta ya mgando au ulizaliwa enzi zile
 
kuna shida kubwa sana kwa huyu jamaa kumbe ni ME.
ukishaona mwanaume anawaza waza uzuri kuna tatizo. yani najaribu tu kujiuliza ulianzaje kutathmin uzuri wa sura yako. ili iweje?
 
Mkuu......
Ebungoja tukae kimya kwanza, huenda kuna lililojificha huko pm aiseeee....

Wanaume wengine bwana waoga kweli kweli

Shunie nimeongea na HR 666, ameniambia nikuambie ANAKUPENDA SANA KAMA TUNDA LA PEPONI, YUPO TAYARI KUTEMBEA UCHI NCHI NZIMA KAMA IKIBIDI KUONYESHA KI OKRA CHAKE HATHARANI ILI AKUPATE WEWE..

maneno yangu USIMBANIE MWENZAKO, TULIAMBIWA TUPENDANE KAMA BWANA WETU, MPE TU HATAIIBA, ATAITUNZA KAMA BUSTANI YA EDENI, HATA FANYA KAMA VILE ADAM NA HAWA WALIVYOFANY.... MUHURUMIE MWENZIO ASIJE KUFA KABLA HAJAPATA UTAMU WAKO
 
Delious ndo anapaswa kushindana sura na wanawake maana anashindana nai kwa business sasa akija mwingine inabidi nisome neno baada ya neno.
 
Mh? Shule zimefungwa fujo zimeanza humu. Uzuri?? Mwanaume? How? Why?
 
*Ukiangalia wanyama na ndege..
-wanyama kama farasi, ngombe nk wa kiume wana mvuto zaidi.
-ukiangalia ndege kama kasuku, njiwa na tausi dume wanavutia na ni wazuri.



Tausi dume ana mkia mzuri sana[emoji115] tofauti na tausi jike yupo kama kanga au kuku mkubwa hana mkia mzuri mkubwa wa rangi rangi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…