Aishah2016
JF-Expert Member
- Jun 11, 2016
- 2,225
- 2,482
AiseeKabisa
duhSina yoyote na huyo chizi simjui hanijui mm
Ushoga huo, wanaume hatubeb poch tunabeba wallet....Uzur wa Kidume ni Pochi nene.. Hzo nyingine ni mbwembwe..
Wallet ni kingereza Mkuu...Ushoga huo, wanaume hatubeb poch tunabeba wallet....
umri please!!Kwa utafiti wangu nilioufanya kwa muda mrefu hatimaye leo nathubutu kusema kuwa sisi wanaume tuna sura nzuri kuliko wanawake
Ukitaka kuthibitisha hilo , wanaume huwa hatuna mambo mengi tukitaka kutoka unapakaa mafuta yako ya mgando unachana nywele zako chapu chapu umemaliza
Hatuchukui zaidi ya dak 45 kujiandaa
Lakini kwa wanawake wanachukua zaidi ya masaa matatu kupaka ma make up ya kufa mtu ili abadilike kwa kuwa wengi wao wakitoka bila make up huwa hawavutii kabisa
Kingine kinachothibitisha kuwa sisi ni wazuri zaidi ya wanawake ni kitendo cha kuoa wanawake zaidi ya mmoja
Yan wanawake 10 wanatafuta nafasi ya kuolewa na mtu mmoja na kati ya hao wanne tu ndo wanachaguliwa
Lakini kutokana na wazungu kuwa washenzi wamebadilisha hii kitu
Eti leo hii wanaume ndo tunawahangaikia wanawake badala ya wao kutugombania sisi
wallet(kiingereza), pochi(kiswahili).Ushoga huo, wanaume hatubeb poch tunabeba wallet....
Subiri kuolewa sasaHasa mm ni handsome boy haswa had warembo huwa wanaimbisha sana alfu na mm naonaga aibu kuwajibu naringa knoma
Subir kupakatwa mkuu una code za kidem wakiume maringo ya nin kama cyo kulitaka dudu washaHasa mm ni handsome boy haswa had warembo huwa wanaimbisha sana alfu na mm naonaga aibu kuwajibu naringa knoma
Huyo ndo kwaanza wet dreams anaanza sasaSubir kupakatwa mkuu una code za kidem wakiume maringo ya nin kama cyo kulitaka dudu washa