Wanaume wanasura nzuri kuliko wanawake

Wanaume wanasura nzuri kuliko wanawake

Tabia ya kutusifia wanaume wazuri sijapenda kabisa! Ili iweje sasa.....hata kwenye vitabu vya dini hakuna sifa km hiyo.Nyie vijana angalieni,mwanaume hasifiwi sura mwanaume shughuli tu....
 
Sina yoyote na huyo chizi simjui hanijui mm
duh

Mupenzi leo nimekuwa chizi tena?

[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nna ndugu yangu mwanaume aliacha kupaka ata hayo mafuta akati yuko primary!!! Saivi yuko 30's na ana ngozi nyororor sana tu. Sasa mwanamke ajaribu aone!
 
huyu jamaa niaje... inamaana unataka kufananisha uzuri wa bayabo sura mbaya au remi ongala wamewazidi wema sepetu na jokate... au uzuri huo upi...!!!!
 
Tatizo we mleta thread ni mvulana au kama mwanaume basi utakuwa mwanaume wa dar
Sifa kwa mwanaume sio sura bali mwanaume anasifiwa kupiga papuchi. Tandika hiyo kitu hadi uhisi center bolt inakatika alafu jitume kutunza familia kama ni marks hapo utapewa 99%
 
Kwa utafiti wangu nilioufanya kwa muda mrefu hatimaye leo nathubutu kusema kuwa sisi wanaume tuna sura nzuri kuliko wanawake


Ukitaka kuthibitisha hilo , wanaume huwa hatuna mambo mengi tukitaka kutoka unapakaa mafuta yako ya mgando unachana nywele zako chapu chapu umemaliza

Hatuchukui zaidi ya dak 45 kujiandaa


Lakini kwa wanawake wanachukua zaidi ya masaa matatu kupaka ma make up ya kufa mtu ili abadilike kwa kuwa wengi wao wakitoka bila make up huwa hawavutii kabisa



Kingine kinachothibitisha kuwa sisi ni wazuri zaidi ya wanawake ni kitendo cha kuoa wanawake zaidi ya mmoja

Yan wanawake 10 wanatafuta nafasi ya kuolewa na mtu mmoja na kati ya hao wanne tu ndo wanachaguliwa


Lakini kutokana na wazungu kuwa washenzi wamebadilisha hii kitu

Eti leo hii wanaume ndo tunawahangaikia wanawake badala ya wao kutugombania sisi
umri please!!
 
Hasa mm ni handsome boy haswa had warembo huwa wanaimbisha sana alfu na mm naonaga aibu kuwajibu naringa knoma
 
Hasa mm ni handsome boy haswa had warembo huwa wanaimbisha sana alfu na mm naonaga aibu kuwajibu naringa knoma
Subir kupakatwa mkuu una code za kidem wakiume maringo ya nin kama cyo kulitaka dudu washa
 
Back
Top Bottom