Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umewaza kama mimi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Jf hasa hili jukwaa la MMU lina siri nzito
Pole kwa masahibu yalokukuta aiseeee....nilishamwambia asitumie avatar yangu hanielewi
Hahaaa,ngoja nijaribu mkuuJaribu tu aiseeee.....
Yawezekana mleta uzi anatangaza biashara ileee... ilio katazwa na Makonda..... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Alafu........nilishamwambia asitumie avatar yangu hanielewi
Mkuu......Hizi gia nyingine bwana au mna yenu ya ziada
Mmmh unapaka mafuta ya mgando wewe unaishi mkoa gani ,kuna tofauti gani ya grisi na mafuta ya mgando au ulizaliwa enzi zileKwa utafiti wangu nilioufanya kwa muda mrefu hatimaye leo nathubutu kusema kuwa sisi wanaume tuna sura nzuri kuliko wanawake
Ukitaka kuthibitisha hilo , wanaume huwa hatuna mambo mengi tukitaka kutoka unapakaa mafuta yako ya mgando unachana nywele zako chapu chapu umemaliza
Hatuchukui zaidi ya dak 45 kujiandaa
Lakini kwa wanawake wanachukua zaidi ya masaa matatu kupaka ma make up ya kufa mtu ili abadilike kwa kuwa wengi wao wakitoka bila make up huwa hawavutii kabisa
Kingine kinachothibitisha kuwa sisi ni wazuri zaidi ya wanawake ni kitendo cha kuoa wanawake zaidi ya mmoja
Yan wanawake 10 wanatafuta nafasi ya kuolewa na mtu mmoja na kati ya hao wanne tu ndo wanachaguliwa
Lakini kutokana na wazungu kuwa washenzi wamebadilisha hii kitu
Eti leo hii wanaume ndo tunawahangaikia wanawake badala ya wao kutugombania sisi
Pm ipi sijawahi chat nae mm pmMkuu......
Ebungoja tukae kimya kwanza, huenda kuna lililojificha huko pm aiseeee....
Sema ukweli bwanaaPm ipi sijawahi chat nae mm pm
ata ww utashindwa niamini hivi uyo mtto nampeleka wapi mm si anakuja kukuaibisha jfSema ukweli bwanaa
Hahah, hivi kumbe ni wavulana eeeh!! Sasa wewe kummaliza badili avatarata ww utashindwa niamini hivi uyo mtto nampeleka wapi mm si anakuja kukuaibisha jf
viboko vinamuhusuKwa hiyo mnashindana!!
Anatakiwa kuchapwa viboko
Umeonaaeeviboko vinamuhusu
Mkuu......
Ebungoja tukae kimya kwanza, huenda kuna lililojificha huko pm aiseeee....