wanaume,wanaume,mmmh!!!

Maty nimerudi upooo! Mie niliwahi kudanganywa sina hamu kumbe jamaa lina mke na watoto sita likaongopa eti mkewe kapata ajali kafa kumbe liongo aaahhh sina hamu na wanaume kabisa

Mie niliwahi kudanganywa jamaa halijaoa kumbe limeacha mke wa ndoa na na watoto wawili kijijini likakaa mjini kwa muda wote bila mawasiliano na wife wake.
Likanivika na engagement ring kudadadeki haya majamaa yana roho za chuma cha pua.
Ndo maana uncle wangu alinambia asilimia 60 za kwake 40 za kwako ila bado naona kama 40 ziwe zake 60 zangu:redfaces::redfaces:
 
Wanaume wanapenda sana kuchakachua downstairs za wanawake ndo maana wamejaa sound. Huwa hawatosheki na wanachokipata.
 

Leo ndo nimekujua vizuri kama ifuatavyo:
1. Umeolewa ukiwa huna bikra
2. Ulichumbiwa na mme wa mtu (ulikuwa tayari kwa ndoa ya mitala)
3. Umeshamegwa na mme wa mtu (yaani wewe ni mzinzi)

Karibu kwenye chama chetu, kinakufaa.
 

Hahahahahahahaha kila siku mdanganywe nyie tu kuweni wajanja na nyie mnawadanganya.

Kuna mwanamke mmoja ameolewa na wanaume 2 mmoja yupo kijijini mwingine town na anawatoto wakubwa na jamaa hawajuani lakini anampendela sana wa mjini ndiko aliko jikita sana
 

Pole mwaya ndo viumbe hawa walivyo mie niliacha kwa matangazo mpaka likaona aibu nakwambia nikaenda hadi kwa mkewe eti lilishaenda na kwetu kutoa barua jamani mijanaume hiii mi akina Asprin mie naichukia bora yote ife tu tubaki wenyewe humu duniani ahhh
 

Kwahiyo hapo unamuongelea Babu yangu Asprin tu at least kumbe wengine tuko safi
 
Leo ndo nimekujua vizuri kama ifuatavyo:
1. Umeolewa ukiwa huna bikra
2. Ulichumbiwa na mme wa mtu (ulikuwa tayari kwa ndoa ya mitala)
3. Umeshamegwa na mme wa mtu (yaani wewe ni mzinzi)

Karibu kwenye chama chetu, kinakufaa.

Chini ya jua yote yanawezekana.Bikira ndio nini kwanza ?
lakini ni vyema jambo lifanyike bila kujua ,kuliko kufanya ukitambua nini unafanya ba bado unafanya
Mbona unaanza kunikwaza Asprin ,harafu leo aaaaaaaaaaaaagh ngoja niache kwenye mabano
 
hahaha nani atawatimizia haja? au ndo mambo ya dolidoli na ndizi?
 

hahahahah leo umeacha hoi Fidel80 ni ngumu kwa mwanamke kumanage wanaume wawili lakini nyie kwa vile mna roho za paka mnaweza .Sisi hatuwezi huyo mwanamke ni Komandoo
 
Chini ya jua yote yanawezekana.Bikira ndio nini kwanza ?
lakini ni vyema jambo lifanyike bila kujua ,kuliko kufanya ukitambua nini unafanya ba bado unafanya
Mbona unaanza kunikwaza Asprin ,harafu leo aaaaaaaaaaaaagh ngoja niache kwenye mabano

Ngoja nikuache kwanza.

Nakupigia shortly unambie kuhusu hiyo bold hapo... Pokea simu.
 

Thats jinsia in name calling and bad wish to babu wa wajukuu, you have been notified, warned and banned!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…