Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Usitusingizie bwana nyie ndo mnatutafuta
Sawa, sisi tuatafuta, nanyi mnapatikana. si sawa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usitusingizie bwana nyie ndo mnatutafuta
Maty nimerudi upooo! Mie niliwahi kudanganywa sina hamu kumbe jamaa lina mke na watoto sita likaongopa eti mkewe kapata ajali kafa kumbe liongo aaahhh sina hamu na wanaume kabisa
Mie niliwahi kudanganywa jamaa halijaoa kumbe limeacha mke wa ndoa na na watoto wawili kijijini likakaa mjini kwa muda wote bila mawasiliano na wife wake.
Likanivika na engagement ring kudadadeki haya majamaa yana roho za chuma cha pua.
Ndo maana uncle wangu alinambia asilimia 60 za kwake 40 za kwako ila bado naoana kama 40 ziwe zake 60 zangu:redfaces::redfaces:
Mie niliwahi kudanganywa jamaa halijaoa kumbe limeacha mke wa ndoa na na watoto wawili kijijini likakaa mjini kwa muda wote bila mawasiliano na wife wake.
Likanivika na engagement ring kudadadeki haya majamaa yana roho za chuma cha pua.
Ndo maana uncle wangu alinambia asilimia 60 za kwake 40 za kwako ila bado naona kama 40 ziwe zake 60 zangu:redfaces::redfaces:
Sawa, sisi tuatafuta, nanyi mnapatikana. si sawa?
Karibu kwenye chama chetu, kinakufaa.
Mie niliwahi kudanganywa jamaa halijaoa kumbe limeacha mke wa ndoa na na watoto wawili kijijini likakaa mjini kwa muda wote bila mawasiliano na wife wake.
Likanivika na engagement ring kudadadeki haya majamaa yana roho za chuma cha pua.
Ndo maana uncle wangu alinambia asilimia 60 za kwake 40 za kwako ila bado naona kama 40 ziwe zake 60 zangu:redfaces::redfaces:
Amesha timiza rule no.3 bila kujijua ni bora aendelee tu karibu sana
Pole mwaya ndo viumbe hawa walivyo mie niliacha kwa matangazo mpaka likaona aibu nakwambia nikaenda hadi kwa mkewe eti lilishaenda na kwetu kutoa barua jamani mijanaume hiii mi akina Asprin mie naichukia bora yote ife tu tubaki wenyewe humu duniani ahhh
Kama sound inasikika shega tu kwani taabu iko wapi
Leo ndo nimekujua vizuri kama ifuatavyo:
1. Umeolewa ukiwa huna bikra
2. Ulichumbiwa na mme wa mtu (ulikuwa tayari kwa ndoa ya mitala)
3. Umeshamegwa na mme wa mtu (yaani wewe ni mzinzi)
Karibu kwenye chama chetu, kinakufaa.
Kwahiyo hapo unamuongelea Babu yangu Asprin tu at least kumbe wengine tuko safi
hahaha nani atawatimizia haja? au ndo mambo ya dolidoli na ndizi?Pole mwaya ndo viumbe hawa walivyo mie niliacha kwa matangazo mpaka likaona aibu nakwambia nikaenda hadi kwa mkewe eti lilishaenda na kwetu kutoa barua jamani mijanaume hiii mi akina Asprin mie naichukia bora yote ife tu tubaki wenyewe humu duniani ahhh
Hahahahahahahaha kila siku mdanganywe nyie tu kuweni wajanja na nyie mnawadanganya.
Kuna mwanamke mmoja ameolewa na wanaume 2 mmoja yupo kijijini mwingine town na anawatoto wakubwa na jamaa hawajuani lakini anampendela sana wa mjini ndiko aliko jikita sana
Chini ya jua yote yanawezekana.Bikira ndio nini kwanza ?
lakini ni vyema jambo lifanyike bila kujua ,kuliko kufanya ukitambua nini unafanya ba bado unafanya
Mbona unaanza kunikwaza Asprin ,harafu leo aaaaaaaaaaaaagh ngoja niache kwenye mabano
Na wewe ni mmoja wao mnaniuzi mimi aahh tena wewe TF usinichokoze saa hizi
Pole mwaya ndo viumbe hawa walivyo mie niliacha kwa matangazo mpaka likaona aibu nakwambia nikaenda hadi kwa mkewe eti lilishaenda na kwetu kutoa barua jamani mijanaume hiii mi akina Asprin mie naichukia bora yote ife tu tubaki wenyewe humu duniani ahhh
Ngoja nikuache kwanza.
Nakupigia shortly unambie kuhusu hiyo bold hapo... Pokea simu.
Thats jinsia in name calling and bad wish to babu wa wajukuu, you have been notified, warned and banned!