Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,004
- 31,808
Duuuh kweli vyuma haviangalii mtu hata wewe umeshindwa kukontro akili yakoNajaribu kuwaza kwa sauti wewe mwanaume unafanya nini kwenye uzi ambao una mandhali kama salon ya kike??
Kwanini mnakuwa ivi?? Huu uzi ulipaswa kukemewa kwa nguvu na umoja wetu ufutwe maana utaleta uharibu mbeleni.
Umekaa hapa mnasukana nywele na wewe unacheka mm nakejeliwa na vi dudu hivi wewe unapita una like?? Unanijua mimi wewe???
Unajitambua kweli wewe?? chukua hatua kijana na ujitambue nafasi yako kuliko kushiriki kwenye rubbish kama hizi ni bora ungejiingiza katika mijadara mizito yenye nia ya kuleta tija.
you are an insult in gentlemens club!! Empty set kabisa
Tuliza kinyelo jombaa we mwenyewe uko hapa unapitia comets zote si ulale unahangaika niniNajaribu kuwaza kwa sauti wewe mwanaume unafanya nini kwenye uzi ambao una mandhali kama salon ya kike??
Kwanini mnakuwa ivi?? Huu uzi ulipaswa kukemewa kwa nguvu na umoja wetu ufutwe maana utaleta uharibu mbeleni.
Umekaa hapa mnasukana nywele na wewe unacheka mm nakejeliwa na vi dudu hivi wewe unapita una like?? Unanijua mimi wewe???
Unajitambua kweli wewe?? chukua hatua kijana na ujitambue nafasi yako kuliko kushiriki kwenye rubbish kama hizi ni bora ungejiingiza katika mijadara mizito yenye nia ya kuleta tija.
you are an insult in gentlemens club!! Empty set kabisa
AsanteeeeeeeeTuliza kinyelo jombaa we mwenyewe uko hapa unapitia comets zote si ulale unahangaika nini
HahahahEeenh ebu nitumie kwa pm nijichekee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ahahhaha katuquote tukasome story zake
Hivi kwa ninii anafanya vile watu hawapendi me binafsi sipendi ananikera sana nikiona quotes zake tu sifungui najua tu mambo ya link za story[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yule kashindikana haki tena.
Hahahaaaa!! Niwache bwana![emoji1] [emoji28]
Ki haya ndo chenyewe tena ukiongee pole pole, very romantic! [emoji3]
Juzi.Ya mwaka huu ilikuwa lini? Nilirudi Mtwara kidogo...
Ashaambiwa hakomi, hivyo ni wa kupuuza tu.Hivi kwa ninii anafanya vile watu hawapendi me binafsi sipendi ananikera sana nikiona quotes zake tu sifungui najua tu mambo ya link za story
Sikio la kufa nimempa ignore list ngoja nioneAshaambiwa hakomi, hivyo ni wa kupuuza tu.
Idiot kabisa..mimi nina muda wa kufuatilia upuuzi??Tuliza kinyelo jombaa we mwenyewe uko hapa unapitia comets zote si ulale unahangaika nini
[emoji140]Idiot kabisa..mimi nina muda wa kufuatilia upuuzi??
Akili nukta kabisa..aina yako hii ni wale waliolelewa na dada zao..
ngoja nikuache na shoga zako wakusuke nywele..rubbish
Nitumie nitafsiri...nimekaa south kidoggoAkipiga simu sasa nataman kuikimbia,kukimbia shule kubayaaaa