Wanaume/wanawake wa mkoani vs wanaume /wanawake wa dar

We nae sasa huku umefata nini hasira za kufutwa comment zako unamalizia kwetu ebu tuambie kwanza unatokea dar au mkoani uwekwe kwa list
 
Huyo mgombe namb 2 mmh!!! Anatudhalilisha wa mikoani hvi tunapanga hata tumteke tu,

[emoji767]msemaji wa wanaume wa mikoani
 
Khaaaaaaaaaaaaaaaaaaa hii ni chit chat bana
 
Mkuu ukilala itapendezaa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…