Quinton Canosa
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 1,224
- 1,250
inasemekana wanawake wanawaheshimu sana wanaume wa aina hii kiasi kwamba wanaogopa kuwafanyia ushenziUpole ukizidi sana, unageuka kuwa uzembe...
tofauti ya ukimya na upole ni nini mkuuAnachanganya mambo kuna wengine wakimya na sio wapole kuongea sana sio kipimo
Wanaowapenda wanaume wa aina hii... ni wale wanawake wenye mambo mengi na kutaka kummiliki mwanaume...inasemekana wanawake wanawaheshimu sana wanaume wa aina hii kiasi kwamba wanaogopa kuwafanyia ushenzi
henda kuna ukweli mkuuWanaowapenda wanaume wa aina hii... ni wale wanawake wenye mambo mengi na kutaka kummiliki mwanaume...
Yeye afanye anachotaka.. akikupa maelezo kidogo tu yaishe...
Ntakukomesha...Hawanaga mashiko kwa Kasie. .... Kasie mtata wake mwanaume mtata.
Ntakukomesha...
Bado sijachelewa... ndiyo kwanza mpema..Umechelewa wapi....?
Maneno ya mkosaji hayoo hehehe
Bado sijachelewa... ndiyo kwanza mpema..
"Anaweza akawa na heshima na asiwe na adabu"Mtu anaweza kuwa mpole asiwe mtaratibu.
Anaweza kuwa mkimya akawa hajatulia
Lakini pia anaweza kuwa na heshima na asiwe na adabu.
Na akawa na mahaba asiwe na mapenzi.
Pengine hyu dada alishwahi kuwa na mtu mkali sana hivyo moyo wake unahtjai mtu mpole lakin hio ni tahadhar kwake!!