Wanaume wapole wanapendwa sana

Wanaume wapole wanapendwa sana

Quinton Canosa

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2012
Posts
1,224
Reaction score
1,250
Habari zenu wanajamii forum
Kuna dada nilikuwa naongea naye hapa mwanza ,katika mazungumzo yetu akasema yeye anapenda wanaume wapole kuliko wanaume waoongea sana nikamuuliza kwanini unawapenda wanaume wapole akasema wanakuwaga wakweli na wanapenda sana vile vile wanamvuto kutokana na ustaarabu wao hivyo akamalizia kwa kuniambia yeye anaongea na wanaume weeeeengi lakini wanaume wapole wanauteka sana sana moyo wake kwa kuwa anawaamini kupita kiasi.Ni kweli wanaume wapole tunapendwa sana kuliko wanaume waongeaji
 
inasemekana wanawake wanawaheshimu sana wanaume wa aina hii kiasi kwamba wanaogopa kuwafanyia ushenzi
Wanaowapenda wanaume wa aina hii... ni wale wanawake wenye mambo mengi na kutaka kummiliki mwanaume...

Yeye afanye anachotaka.. akikupa maelezo kidogo tu yaishe...
 
Wanaowapenda wanaume wa aina hii... ni wale wanawake wenye mambo mengi na kutaka kummiliki mwanaume...

Yeye afanye anachotaka.. akikupa maelezo kidogo tu yaishe...
henda kuna ukweli mkuu
 
Mtu anaweza kuwa mpole asiwe mtaratibu.
Anaweza kuwa mkimya akawa hajatulia
Lakini pia anaweza kuwa na heshima na asiwe na adabu.
Na akawa na mahaba asiwe na mapenzi.

Pengine hyu dada alishwahi kuwa na mtu mkali sana hivyo moyo wake unahtjai mtu mpole lakin hio ni tahadhar kwake!!
 
"Anaweza akawa na heshima na asiwe na adabu"

Mwenye mapenzi na asiwe na mahaba kiaje?
 
Aje amchukue na huyu wangu ila simuachii bila kudundana aisee! Mwanaume mpole mpaka kero. Mi napenda hao waongeaji sema ndo hivyo tena... Ana vitu vingine vingi nnavyompendea ko huo upole wake wala haunibugudhi.
 
Kuna upole na ubwege sasa we alikuweka kundi gani?
 
Back
Top Bottom