Wanaume wapole wanapendwa sana


kutozungumza ni upole au ukimya..mana naona kuna misconception iliyopo ktk jamii kati ya upole, na ukimya.
 

Muda wenyewe mchache
 
Wanaowapenda wanaume wa aina hii... ni wale wanawake wenye mambo mengi na kutaka kummiliki mwanaume...

Yeye afanye anachotaka.. akikupa maelezo kidogo tu yaishe...

Hii kweli kabisa maana anaweza akawatambulisha wanaume wake kama kaka zake. Ilishanikuta hii aisehh akiongea na simu kama anaongea na machalii wake kumbe ana lake. siungi mkono mwanaume kuwa mpole ata nguo utafua ndugu ilishawahi nitokeaga nilisepa na simu nikazima
 
Kuwa mpole hakuzuii mwanamme kuwa ngangari mara tu unapoonyeshwa dharau na mke/mchumba wako.
 
Kila mtu na mapenzi yake,wadada wengune ni tofauti na hivyo,hawpendi watu waliopooza
 
Uongoooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…