Anonymous Caller
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 679
- 870
Habari zenu wanajamii forum
Kuna dada nilikuwa naongea naye hapa mwanza ,katika mazungumzo yetu akasema yeye anapenda wanaume wapole kuliko wanaume waoongea sana nikamuuliza kwanini unawapenda wanaume wapole akasema wanakuwaga wakweli na wanapenda sana vile vile wanamvuto kutokana na ustaarabu wao hivyo akamalizia kwa kuniambia yeye anaongea na wanaume weeeeengi lakini wanaume wapole wanauteka sana sana moyo wake kwa kuwa anawaamini kupita kiasi.Ni kweli wanaume wapole tunapendwa sana kuliko wanaume waongeaji
kutozungumza ni upole au ukimya..mana naona kuna misconception iliyopo ktk jamii kati ya upole, na ukimya.