Wanaume Warefu: Ebu jaribu viatu vyenye "long neck style" kama vitakufaa

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
26,961
Reaction score
77,890
Wakuu.

Kama wewe ni mrefu, juu ya mita 1.7 ebu jaribisha kuvaa viatu vyenye shingo ndefu kwenye mitoko yako ya sahivi.
Kama ni mtu wa jeans na track jaribisha Jordan 1 [ata copy nzuri tu unapata kwa 40,000/=] au Jordan 5, 6 au 7 etc.


Au kama una mix jean na juu shati, au kadeti, unaweza tafuta pigo za kina Clarks hivi.


Naamini unaweza pata hii ikawa style yako mpya. Achana na low cuts.
 
Very interesting
 
Nazikubali sana travota, ndo viatu vyangu, ila hzo Jordan and other sneakers hua naona wanaozivaa wengi wao ni wavulana walio kwny balehe most of them hawajitambui,
Yeah Travota nzuri sana, sana na ukipata ya zipu mtumba ndio unyama square.

Achana na hizi za elastic pembeni baada ya muda inalegea inakua mbaya sana sana sanaaa..

Hapo kwenye Jordan hapo hahaha ..

Tatizo la Jordan ni rangi, ukijimix ukachukua marangi rangi utaonekana haujabalehe.

Ila ukipata plain colors unyama haina complications sana..

 
Yes, hapo kwny travota tuko pamoja japo kwenye mtumba cjafankiwa kupata travota ya size yangu yenye zip. Mm nina hii yenye elastic pembeni, Ila kwny sneaker hata iwe plain colour bado cjazikubali maybe kwa sababu unyayo wangu mrefu au kwa sabu mi sio bishoo👇
 

Attachments

  • Screenshot_20240510_160101_Gallery.jpg
    380.3 KB · Views: 28
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…