KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Hii kuharibika kwake ni kuichoma moto tu......Hii buti nilinunua tangu 2017 mpaka leo inadunda tu
Mchina bongo hii kaiweza mikato ya kila aina π croks naona zimechanganya mpka nimeanza kuzielewa πDar joto lazima kuna muda wanaume mpumzishe miguu π
Duh pesa hatuna sio πNitakuchosha siuzii member wa JF π
Mchina ushindwe wewe anakufyatulia kitu kwa pesa yako inayasoma mfukoni kwako. ππMchina bongo hii kaiweza mikato ya kila aina π croks naona zimechanganya mpka nimeanza kuzielewa π
Sitaki kujuana π€£π€£Duh pesa hatuna sio π
Ndo nitakachofanya πππHii kuharibika kwake ni kuichoma moto tu......
zamani wife alikua akija geto lazima atinge raba zangu japo hazimtoshi ila now sioni zile tamaa sjui zimeishia wapiπππππHahahahhada.. na uzuri wa Jordan nyingi unisex.. unaweza ukawa unavaliana na mpenzi wako..
View attachment 2986822
Au kama vipi tukae humu..
View attachment 2986824
Unakula jinsi Yako iliyopauka Kwa mbali na sharti la mikono Juu unakula circle cap au zile cap za macheckbob
unyama sana mkuuπYes, hapo kwny travota tuko pamoja japo kwenye mtumba cjafankiwa kupata travota ya size yangu yenye zip. Mm nina hii yenye elastic pembeni, Ila kwny sneaker hata iwe plain colour bado cjazikubali maybe kwa sababu unyayo wangu mrefu au kwa sabu mi sio bishooπ
Wafupi siyo uzi wenu huu
Mtu mfupi asivae atadumbukia hadi usawa wa kiuno
Sisi vistuli tupite kimya kimya
Wafupi wakivaa wanakuwa kama bakuli inayoelea kwenye majiπ
Majibu yako hayo hapo juu ππππWafupi vipi?
Sijawahi kupenda hivi viatuWakuu.
Kama wewe ni mrefu, juu ya mita 1.7 ebu jaribisha kuvaa viatu vyenye shingo ndefu kwenye mitoko yako ya sahivi.
Kama ni mtu wa jeans na track jaribisha Jordan 1 [ata copy nzuri tu unapata kwa 40,000/=] au Jordan 5, 6 au 7 etc.
View attachment 2986719View attachment 2986720View attachment 2986721
Au kama una mix jean na juu shati, au kadeti, unaweza tafuta pigo za kina Clarks hivi.
View attachment 2986723View attachment 2986724View attachment 2986726
Naamini unaweza pata hii ikawa style yako mpya. Achana na low cuts.