Wanaume warefu watamu sana

Okrap

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2022
Posts
1,112
Reaction score
2,311
Habari

Jamani wakaka warefu wanajua sana mapenzi yaani huwa wanavitu vya kipekee sana yaani hata akikukis unafeel uko na mtu sasa shida ipo hawa vifupi jamani dah.

Mpaka unaogopa kutambulisha kwa rafiki yako ila warefu hata akiwa mbali unatamani muda wote awepo karibu mchumuchumu tu.
 
JF inapitia wakati mgumu sana.
 
Na warefu ni wataalam Sana wakutatua marynder kwa ustadi wa kipekee ukilinganisha na wafupi.
 
Mambo yanavovurugana hivi, hayo mambo ya urefu na ufupi bado kuna wanawake wanayawaza mpk leo?

Hujavurugwa wewe bado itakua πŸ‘»πŸ‘»
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…