Wanaume warefu watamu sana

Wanaume warefu watamu sana

Kama ni demu huo ni urefu wa zaiylisaa hivyo ni tall sana ni kama mwanaume wa 6'6 ft kibongo hivyo ata stand out sana maana kiasili wanawake ni wafupi kuliko wanaume

Ila Kama ni mwanaume ni urefu wa kawaida sana japo uta stand out some places minor

True
5’9 ft kuna maeneo (mikoa) unaonekana taller

BTW Nime experience hiyo hali asilimia kubwa ukiwa kuanzia 5’9 ft you look taller
 
Kwanza huwa inategemea na urefu alivyo.
Wengine ni ilimradi wamenyooka basi!

Pili Inategemea na hali ya moyo wake ilivyo.

Kuna wanaume wengine ufanye kuwaangalia hivi kwa nje tu au ukutane nae hotel siku 2-3 kisha kila mtu aende zake lakini kuishi nae chini ya dari moja kwa muda mrefu utachoka mwenyewe nakwambia 😆😆😆

Sio kwa disappointments hizo!
 
Back
Top Bottom