Wanaume warefu watamu sana

Wanaume warefu watamu sana

Nyie mnaosema warefu wazuri tusingewaona kwa Mwamposa mnalia lia mmataka hata vibabu viwaoe ....navyo havitakiiii
 
Sisi watu wafupi(kutokana na maumbile yetu) mioyo yetu iko karibu sana na uliko mfuko wa mavi Sasa lile joto la pale linasababisha Moyo Unakua juu juu na hivyo tunakua na hasira muda wote mkuu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

You're so crazy
 
Sisi watu wafupi(kutokana na maumbile yetu) mioyo yetu iko karibu sana na uliko mfuko wa mavi Sasa lile joto la pale linasababisha Moyo Unakua juu juu na hivyo tunakua na hasira muda wote mkuu.
Hahaha kwani mkuu una urefu wa foot ngapi?
 
Habari

Jamani wakaka warefu wanajua sana mapenzi yaani huwa wanavitu vya kipekee sana yaani hata akikukis unafeel uko na mtu sasa shida ipo hawa vifupi jamani dah.

Mpaka unaogopa kutambulisha kwa rafiki yako ila warefu hata akiwa mbali unatamani muda wote awepo karibu mchumuchumu tu.

Sisi wakina palanjo tufanyaje
 
Back
Top Bottom