Wanaume warefu watamu sana

Wanaume warefu watamu sana

Sisi wanaume warefu huwa tunawaona wanaume wafupi Kama kundi linalohitaji uangalizi maalum maana vijamaa vinateswa sana vikipata dem vinang'ang'ania hata Kama havipendwi kwasababu huwa hawana uhakika wa kupata dem mwngne
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Yaani kwanza kwanini uwe mfupi !? Urefu ni kitu Cha kukosa kweli
 
Habari

Jaman wakaka warefu wanajua sana mapenzi yaani huwa wanavitu vya kipekee sana yaani hata akiku kic unafeel uko na mtu sasa shida ipoa hawa vifupi jamani dah

Mpaka unaogopa kutambulisha kwa rafiki yako ILA warefu hata akiwa mbali unatamani mda wote awepo karibu mchumuchumu tu
Binti yetu unateswa na sumu za kihisia , na zitakutesa sana mpaka utakapoanza kujiheshimu mwenyewe kwamba unatosha kujipa furaha na kujiwekea mazingira ya kutoshelezwa bila kumtegemea mtu yoyote kukupa hiyo hali na iyo itakusaidia pindi watu uliowapa heshima watakapo acha kukuheshimu ila kukaa na kuanza kusambaza sumu kwa mabinti wengine ni kutoheshimu mwili wako mwenyewe
 
Kumbe ndio maana utakuta mwanamke anateseka kwenye mahusiano, ananyanyaswa, anapigwa, anatendwa lakini anavumila hatoki kwasababu tu ya kimo..[emoji24]
Ina maana wanawake wote wanaopitia sexual harassment Huwa wanaafanyiwa hivyo vimbwanga na wanaume warefu tu pekee , naona mnajaribu sana kutuchafua wanaume warefu ,

Ukweli ni kwamba Kuna mahusiano ya karibu sana baina ya uungwana na wanaume warefu tuko so gentle [emoji1787]
 
UWE MREFU HALAFU HUNA HELA UNAKUWA SAWA NA NGUZO INAYOTEMBEA (mobile pole), kitanda cha futi sita hakikutoshi, uzeeni kujisaidia utaimba iyena!, jangwani ni rahisi kupigwa na radi!

Urefu ni mfuko wako tu nilishasema ukiwa na pesa wadada huwa wananyege balaa!
Tafta pesa!
Ukiwa mrefu watasema wanataka baunsa, ukiwa baunsa watakwambia wanataka mwanaume mwenye gari! Ukiwa na gari watakwambia wanataka mwanaume mwenye nguvu za kiume msimamia kucha,
Ukisimamia kucha wanakwambia hawatako mario mwanaume suruali

KIUFUPI TAFTA PESA! MENGINE ACHANA NAYO
Tuna zungumzia maumbile Pesa ni kitu Ambacho kina tafutwa na gender yoyote Ile hakina mahusiano yoyote yale na urefu Wala ufupi tafadhali

Tujikite katika mada husika ,


Ukweli ni kwamba wanaume warefu demand yetu ni kubwa Sana Kwa kina dada /mama [emoji1787]
 
Ina maana wanawake wote wanaopitia sexual harassment Huwa wanaafanyiwa hivyo vimbwanga na wanaume warefu tu pekee , naona mnajaribu sana kutuchafua wanaume warefu ,

Ukweli ni kwamba Kuna mahusiano ya karibu sana baina ya uungwana na wanaume warefu tuko so gentle [emoji1787]
Hapana hakuna niliposema hivyo labda kama hujanielewa vema
 
Kumbe ndio maana utakuta mwanamke anateseka kwenye mahusiano, ananyanyaswa, anapigwa, anatendwa lakini anavumila hatoki kwasababu tu ya kimo..[emoji24]
Wafupi mna taabu kwwlikweli...
Ccc mzee wa liquid
 
Mchawi pesa tu. Wengine na urefu walionao haujawasaidia chochote . Wangekuwa USA wangekuwa na ndoto za kuwa basketball players na wangefanikiwa. Urefu haulipi Kodi, haujengi nyumba Bahari beach na Wala haununui Audi, BMW, Mercedes Benz au Ranger Rover sport. Ukiwa mrefu halafu una pesa Raha sana

Uwe una pesa zote dunia hii lakini kama kuna kitu umekosa ni umekosa tu. Kama Mungu hajakupa ni hajakupa tu

Mwanamke kukuvumilia apate pesa yako haina tofauti na mfanyabiashara anavyovumilia matusi ya wateja ili apate pesa zao. Sio kwamba hakereki au akiwa na mashoga zake hakuiti majina ya ajabu ila anakuvumilia tu na ukikosa anaondoka, kwa hiyo wewe ni ATM na yeye ni sex machine yako,

Uzuri dunia hii ni wachache wanakosa wa kuwapenda au kuwakubali jinsi walivyo, mfano wafupi wengi huwa wana personality nzuri hasa za ucheshi na wengine wana akili au attributes nyingine..

So ukinyimwa usidhani pesa itasaidia Hapana, ni kujikubali tu na kuwa confident kwa kile umepewaa
 
Warefu hatuna dharau
Wala hatuchukulii urefu wetu kwamba ni ishu kubwa.
Ni kweli wanawake wanatupenda na wanawaponda sana wanaume wafupi huo ni ukweli.
Mimi ni mrefu 😂😂😂
 
Inadepend na uliyokutana nao na kutokana tayari una hulka nao hao warefu akili yako umeshairuhusu kuwapa penzi bila kuwaza madeni ya vicoba, mm mwenyewe mrefu almost 2cm kureach 6ft(normal human height) na bado nishakoma kiherehere na wenye jinsia kama yako sasa sijui urefu upi wenzetu unaowasifia.
 
Warefu hatuna dharau
Wala hatuchukulii urefu wetu kwamba ni ishu kubwa.
Ni kweli wanawake wanatupenda na wanawaponda sana wanaume wafupi huo ni ukweli.
Mimi ni mrefu 😂😂😂
Naona unataka kujibebea kitu flani uku afu tukukute kule kwenye uzi wa kimasihara.
 
Back
Top Bottom