Wanaume warefu watamu sana

Wanaume warefu watamu sana

Haaaaaa haya mambo ya ufupi yamerudi tena

Ila anacho kisema huyu dada ni kweli
Mimi nina wadogo zangu ambao wako nyuma yangu wote sasa hivi wanawake alafu kuna mimi ambaye sina mwanamke
Na familia wana sema ni oe na sema sitaki kuoa sio kwamba sitaki kuoa nataka ila kumpata demu si ndo shida nilijaribu kutongoza wanawake wengi kwa ao wengi kuna wa wili tu ndo tulipendana na wote tukaachana

Na kizuri zaidi nina mshukuru Mungu pamoja na kimo changu cha 1m 62 najipenda na nina kiburi saana ua sipendi kuona ujinga au kujibembeleza kwa mwanamke ndio maana mpaka sasa hivi sina mwanamke kwasababu sipendagi kubembeleza
Ila ukiwa mrefu wenyewe wana kuja tu bila wewe kuwatafuta some time una weza kusema Mungu alikosea ila ukikumbuka kuwa sawa wewe ni mfupi ila tambuwa kuna wengine vilema na wengine hawana akili sawa una shukuru tu kwa yote
 
Naona maandunje mmepanic [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
UWE MREFU HALAFU HUNA HELA UNAKUWA SAWA NA NGUZO INAYOTEMBEA (mobile pole), kitanda cha futi sita hakikutoshi, uzeeni kujisaidia utaimba iyena!, jangwani ni rahisi kupigwa na radi!

Urefu ni mfuko wako tu nilishasema ukiwa na pesa wadada huwa wananyege balaa!
Tafta pesa!
Ukiwa mrefu watasema wanataka baunsa, ukiwa baunsa watakwambia wanataka mwanaume mwenye gari! Ukiwa na gari watakwambia wanataka mwanaume mwenye nguvu za kiume msimamia kucha,
Ukisimamia kucha wanakwambia hawatako mario mwanaume suruali

KIUFUPI TAFTA PESA! MENGINE ACHANA NAYO
 
Mkuu mbona post zako unaponda sana wanaume.. kulikoni? Kama umeachika hv karibu jitahidi ku-move on dada angu, kuweka kinyongo moyoni haitakusaidia chochote
Kaponda wanaume wapi wakati katusifia wanaume warefu , seems jf Ina wanaume wafupi wengi sana humu

Maana sio Kwa hii chaos [emoji28]
 
Back
Top Bottom