Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Matolu hatuna parararira shughuli zetu kimyakimya,kimasihara wengi wafupi 😂😂😂Naona unataka kujibebea kitu flani uku afu tukukute kule kwenye uzi wa kimasihara.
Juu ya iyo stori wacha nikadelete tumesej flani kule. Heshma kwanza. Ahsante mkuu. Duh! Umeokoa jahazi.Matolu hatuna parararira shughuli zetu kimyakimya,kimasihara wengi wafupi 😂😂😂
Wafupi mna taabu kwwlikweli...
Ccc mzee wa liquid
dah kweli mnatupondeaSisi wanaume warefu huwa tunawaona wanaume wafupi Kama kundi linalohitaji uangalizi maalum maana vijamaa vinateswa sana vikipata dem vinang'ang'ania hata Kama havipendwi kwasababu huwa hawana uhakika wa kupata dem mwngne
🤣🤣🤣🤣 mtamezesha watu sumu wakuu. Chezeni chini. Oh sorry!!!! Tukachezeshe juuu uku chini wastambue.Sisi wanaume warefu huwa tunawaona wanaume wafupi Kama kundi linalohitaji uangalizi maalum maana vijamaa vinateswa sana vikipata dem vinang'ang'ania hata Kama havipendwi kwasababu huwa hawana uhakika wa kupata dem mwngne
Wewe dada Jamii Forums ikujengee sanamu huko Bukoba Kyaka kwa kina Maxence MeloNa wafupi kama nini ndio waoaji...
Warefu kama miti wanakula wanaacha...
[emoji1666]Hapana hakuna niliposema hivyo labda kama hujanielewa vema
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Uwe una pesa zote dunia hii lakini kama kuna kitu umekosa ni umekosa tu. Kama Mungu hajakupa ni hajakupa tu
Mwanamke kukuvumilia apate pesa yako haina tofauti na mfanyabiashara anavyovumilia matusi ya wateja ili apate pesa zao. Sio kwamba hakereki au akiwa na mashoga zake hakuiti majina ya ajabu ila anakuvumilia tu na ukikosa anaondoka, kwa hiyo wewe ni ATM na yeye ni sex machine yako,
Uzuri dunia hii ni wachache wanakosa wa kuwapenda au kuwakubali jinsi walivyo, mfano wafupi wengi huwa wana personality nzuri hasa za ucheshi na wengine wana akili au attributes nyingine..
So ukinyimwa usidhani pesa itasaidia Hapana, ni kujikubali tu na kuwa confident kwa kile umepewaa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] oyaaa mbona ume panic brotherKama sisi tunavyowachukia vimbau mbau kama wewe.Nani anataka atomb£ mifupa[emoji23]
oya sisi wa f5.na nusu tupo kundi gani la urefu?
🤣🤣Hapo bado haijadinda😳🤸🤸🤸Mama umekutana na pipe kaliii View attachment 2317310
Hawa ndugu zetu naskia wana hasira kweli...afu nyie mnataka anzisha vita kuu ya watu wafupi. Mi sipo. 🤗[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] oyaaa mbona ume panic brother
Mi mfupi naomba nije nikumwagie kidogo plsHabari
Jaman wakaka warefu wanajua sana mapenzi yaani huwa wanavitu vya kipekee sana yaani hata akikukis unafeel uko na mtu sasa shida ipoa hawa vifupi jamani dah
Mpaka unaogopa kutambulisha kwa rafiki yako ila warefu hata akiwa mbali unatamani muda wote awepo karibu mchumuchumu tu
Barikiwa,lakini kama wewe ni mfupi ungeweza hata kukaa kimya tu mkuu...msitutukane sana tafadhaliCha mwisho, huyu ni mwalimu... Kuna member alianzisha uzi humu wa ku-question uelewa wa waalimu watu wakamuona hamnazo, ila sasa naanza kuamini🤫
View attachment 2317320
Hii ndo ile kiherehere watu warefu hatunaga...Mi mfupi naomba nije nikumwagie kidogo pls
Hao ni wakorofi sana [emoji28][emoji28]Hawa ndugu zetu naskia wana hasira kweli...afu nyie mnataka anzisha vita kuu ya watu wafupi. Mi sipo. [emoji847]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Vistuli mmefikwa,
View attachment 2317744