wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
Hahah Ni aibu kusema chalii angu.Hahaha kwani mkuu una urefu wa foot ngapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahah Ni aibu kusema chalii angu.Hahaha kwani mkuu una urefu wa foot ngapi?
Hawaelewagi Hawa viumbe. Utamu ni AKILI yako tu.Akili yako tu utamu upo kichwani mwako
Eti mtu anakuambia mke wa mtu mtamu,mtamu akili yako.Mtoe kwa mumewe Muwekee ndani kama ataendelea kuwa mtamuHawaelewagi Hawa viumbe. Utamu ni AKILI yako tu.
[emoji3526][emoji3526][emoji3526][emoji7] I have a gift for youHongera
[emoji1787][emoji1666]Nipo 'nomo'[emoji23]
Sema tukianza ubaguzi itakuwa tunamkosea Muumba,leo sisi wenye hela tuwabague wanawake wasio na kitu isipokuwa mbunye pekee ndicho wanachomiliki,itapendeza!!
Wembamba wabaguliwe,je itapendeza!!
Mabonge wabaguliwe maana wengi ni wanuka mbunye(hawajitunzi,wachafu) je itapendeza?
Tunamkosea Muumba.Je,sisi wenye mashine tamu tukiwa 'selective' je,itapendeza!
Wanawake ambao 'viuno-gogo' hata unyagoni hamjapita kwende kujifunza a b c.. nanyi tuwatenge, je,itawapendeza!
Ijapokuwa mi nina futi zangu 5 kasoro visentimeta kadhaa nifike f6 ila nachukia ubaguzi.
Weeeee 🥰 nasubiri.[emoji3526][emoji3526][emoji3526][emoji7] I have a gift for you
😂 Hiii jamaniNakuombeaje mema wakati mie mwenyewe roho inauma kiwa mke wangu to be unajichelewesha tuu
Naja. Pm [emoji7][emoji7][emoji7]Weeeee [emoji3059] nasubiri.
[emoji16][emoji23][emoji16][emoji23][emoji23]Cha mwisho, huyu ni mwalimu... Kuna member alianzisha uzi humu wa ku-question uelewa wa waalimu watu wakamuona hamnazo, ila sasa naanza kuamini[emoji2958]
View attachment 2317320
Cc ephen_Msameheni buree, huyu kashapigwa tukio mahali, maana topic zake zote ni wanaume wanaume wanaumeee...
View attachment 2317315
Bahati mbaya ni joined July 2022 tuu hapo..
View attachment 2317317
Mwachiluwi Gily GruHabari
Jamani wakaka warefu wanajua sana mapenzi yaani huwa wanavitu vya kipekee sana yaani hata akikukis unafeel uko na mtu sasa shida ipo hawa vifupi jamani dah.
Mpaka unaogopa kutambulisha kwa rafiki yako ila warefu hata akiwa mbali unatamani muda wote awepo karibu mchumuchumu tu.
NoooKwan 177cm nao ni warefu?
Nooo
Kama ni demu huo ni urefu wa zaiylisaa hivyo ni tall sana ni kama mwanaume wa 6'6 ft kibongo hivyo ata stand out sana maana kiasili wanawake ni wafupi kuliko wanaume5 feet and 9.685 inches kibongo bongo huyu ni mrefu