Wanaume warefu...

Acha Umalaya wewe..... Unatesa kiungo hicho hata kama ulipewa bure
 
Ha ha ha ha,ndio maana wengine katika maongez huwa wanashika shika suruali,kumbe huwa mnaipima urefu?
 
Leo wafupi tunatembea kifua mbele! We are on the right track 🙂🙂
 
Acha kutufedhehesha wewe!
Umekutana na nani huyo?

Mbona sisi warefu ndiyo mabaharia wa Atlantic Ocean?

Rudia utafiti wako please.
 
Kwani ili iwe hogo inatakiwa iwe na nchi ngapi?
Maana mm najua kuanzia 5-7.5
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…