Wanaume warefu...

Wanaume warefu...

Acha Umalaya wewe..... Unatesa kiungo hicho hata kama ulipewa bure
 
Ha ha ha ha,ndio maana wengine katika maongez huwa wanashika shika suruali,kumbe huwa mnaipima urefu?
 
Leo wafupi tunatembea kifua mbele! We are on the right track 🙂🙂
 
Jaman Leo hata siwasalimii....najua nimechokoza nyuki...
Nyie wanaume warefu mnakwama wapi mbona mnaongoza kwa vibamia na urefu wenu tulitegemea muwe na mizigo ya maana ya kutufikisha kwenye kilele cha mlima...
Mwanaume akiwa tall basi kwenye boksa kuna kipisi tu...anyway ndo mlivyo si kosa lenu...[emoji48][emoji48][emoji48][emoji48]
Acha kutufedhehesha wewe!
Umekutana na nani huyo?

Mbona sisi warefu ndiyo mabaharia wa Atlantic Ocean?

Rudia utafiti wako please.
 
Kwani ili iwe hogo inatakiwa iwe na nchi ngapi?
Maana mm najua kuanzia 5-7.5
 
Back
Top Bottom