Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Ukiona kijana wa kiume au mwanaume mtu mzima kila mara anaongea "wanaume ni muhumu kuoa wanawake mabikiara" , mara siku hizi bikira ni adimu sana na upuuzi mwingine kama huo mara nyingi huyo mwanaume hajiamini/ana insecurity inayotokana na kipato, domo zege au uwezo duni wa kufanya mapenzi na kumridhisha mwanamke.
Mwanaume mwenye kipato duni mara nyingi akiwa na mwanamke mzuri aliyewahi kupita kwa wanaume wengine lazima kuna hofu fulani anayokuwa nayo.
Mwanaume domo zege au asiyejua kutongoza vizuri huwa anapata shida sana kupata wanawake anaowatamani hasa akiwa hana pesa.
Mwisho mwanaume ambaye sex game yake ni mbovu kwa sababu zozote zile lazima atakuwa kila mara anajaribu kujilinganisha na wanaume wengine waliowahi kuwa na mwanamke wake na kupata hofu kila mara anapohisi mwanamke wake haridhiki.