Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona mashoga mnawapiga marufuku Tanzania?
We kenge umeerewah?Kila mtu afanye kitu kinacho mpa furaha kwenye maisha yake, akiona bikra ndo furaha yake basi mtazamo wake uheshimiwe Akiona kuoa malaya ndo faraha yake basi mtazamo wake uheshimiwe.
Tabia wa kurazimisha mtazamo wako uwe ndo mtazamo wa watu wa dunia nzima ni upumbavu.
It's against laws but not norms..Kuoa mtoto wa miaka 15 is not against norms??
Mbona makasiriko? Can't yo mind ur business n leave others with their viewz?Then that's a fucked up society
It is what it is mkuu.Then that's a fucked up society
Kwamba Bikra kuwepo kwa wasichana ni makosa ya kiufundi hivi!.Ukiona kijana wa kiume au mwanaume mtu mzima kila mara anaongea "wanaume ni muhumu kuoa wanawake mabikiara" , mara siku hizi bikira ni adimu sana na upuuzi mwingine kama huo mara nyingi huyo mwanaume hajiamini/ana insecurity inayotokana na kipato, domo zege au uwezo duni wa kufanya mapenzi na kumridhisha mwanamke.
Mwanaume mwenye kipato duni mara nyingi akiwa na mwanamke mzuri aliyewahi kupita kwa wanaume wengine lazima kuna hofu fulani anayokuwa nayo.
Mwanaume domo zege au asiyejua kutongoza vizuri huwa anapata shida sana kupata wanawake anaowatamani hasa akiwa hana pesa.
Mwisho mwanaume ambaye sex game yake ni mbovu kwa sababu zozote zile lazima atakuwa kila mara anajaribu kujilinganisha na wanaume wengine waliowahi kuwa na mwanamke wake na kupata hofu kila mara anapohisi mwanamke wake haridhiki.
Bikira ni myth na idea tu vichwani mwa watu, sio kitu halisi, sio kitu tangible, sio kitu physical, hata Kisayansi haiwezi kuthibitishwa kama mwanamke ni bikira.Kwamba Bikra kuwepo kwa wasichana ni makosa ya kiufundi hivi!.
Masta taratibu basi.Bikira ni myth na idea tu vichwani mwa watu, sio kitu halisi, sio kitu tangible, sio kitu physical, hata Kisayansi haiwezi kuthibitishwa kama mwanamke ni bikira.
Ni ujinga mtupu wa mila na tamaduni za kale.
Ukweli ndio huo, Hakuna kipimo cha kisayansi, kibaolojia au physical kupima kwa mwanamke kitu kinachoitwa bikira. Njia pekee ya kujua kama mwanamke mtu mzima amewahi kufanya mapenzi au hajawahi ni yeye mwenyewe akuambie.Masta taratibu basi.
Unatuona humu wote watoto nini maana naona umetubeba nginja nginja,ina maana huwezi kumjua mwanamke aliyeingiliwa na asiyeingiliwa?
Nani kakulazimisha?!Kila mtu afanye kitu kinacho mpa furaha kwenye maisha yake, akiona bikra ndo furaha yake basi mtazamo wake uheshimiwe Akiona kuoa malaya ndo faraha yake basi mtazamo wake uheshimiwe.
Tabia wa kurazimisha mtazamo wako uwe ndo mtazamo wa watu wa dunia nzima ni upumbavu.
Endelea kukariri ujinga wa kusaka bikira au mwanamke aliyetembea na namba ndogo ya wanaume ukifikiri ina tofauti yoyote.Mkuu, acha watu waweke Standard zao katika kuchagua kilicho bora kwao.
Hakuna UFAHARI wowote kulala na mwanamke ambaye ameshaona kila aina ya Seiling board(MALAYA).
1. Hio ni ishara ya DOMO ZEGE, kwakuwa kutongoza MALAYA ni RAHISI kuliko kutongoza Bikira.
2. Pia kipato chako kutumia na MALAYA sio UFAHARI, ni matumizi mabaya ya pesa kwasababu unatumia pesa nyingi kwenye kitu kisicho bora.
Be a Man, Mwanaume kupata bikira ni chaguo BEST, ila kutokana na Bikira hazipo mtaani basi ni vizuri ukapata mwanamke mwenye namba ndogo ya wanaume waliowahi kumkaza.
NOTE: Watu aina yako mnaitwa Captain-save-a-hoe, mpo duniani mnakula mabaki ya wengine(kama fisi), hamuwezi kuwinda. Infact ukiwa MJINGA, hata ukipata PESA bado utabakia kuwa Mjinga mwenye Pesa.