Wanaume wasiojiamini(insecure) ndio wanashadadia zaidi (wako obsessive) kupata wanawake bikira.

Mbona mashoga mnawapiga marufuku Tanzania?

We kenge umeerewah?
Yoda
 
Ninyi ni aina ya wanaume wasio na misimamo.
Aliemua kuchagua bikra muache na wewe ulieamua kwenda kutafuta demu kimboka ni wewe na machagua yako.
 
Kwamba Bikra kuwepo kwa wasichana ni makosa ya kiufundi hivi!.
 
Kwamba Bikra kuwepo kwa wasichana ni makosa ya kiufundi hivi!.
Bikira ni myth na idea tu vichwani mwa watu, sio kitu halisi, sio kitu tangible, sio kitu physical, hata Kisayansi haiwezi kuthibitishwa kama mwanamke ni bikira.
Ni ujinga mtupu wa mila na tamaduni za kale.
 
Hakuna ugomvi,lakini tukubali tukatae aliyeoa nungayembe kuzawadiwa toto moja la X wa mkewe ni kugusa tu.

Anakuta kuna dogo mmoja kila akimwangalia nafsi inagoma kabisa kukubali amemtoa yeye kiunoni,ukijikuta ktk hali hiyo mzee jua umeshapigwa kitu kizito sana kichwani.
 
Bikira ni myth na idea tu vichwani mwa watu, sio kitu halisi, sio kitu tangible, sio kitu physical, hata Kisayansi haiwezi kuthibitishwa kama mwanamke ni bikira.
Ni ujinga mtupu wa mila na tamaduni za kale.
Masta taratibu basi.

Unatuona humu wote watoto nini maana naona umetubeba nginja nginja,ina maana huwezi kumjua mwanamke aliyeingiliwa na asiyeingiliwa?
 
Masta taratibu basi.

Unatuona humu wote watoto nini maana naona umetubeba nginja nginja,ina maana huwezi kumjua mwanamke aliyeingiliwa na asiyeingiliwa?
Ukweli ndio huo, Hakuna kipimo cha kisayansi, kibaolojia au physical kupima kwa mwanamke kitu kinachoitwa bikira. Njia pekee ya kujua kama mwanamke mtu mzima amewahi kufanya mapenzi au hajawahi ni yeye mwenyewe akuambie.
 
Nimeona kuna video moja mtandaoni kuna saloon wanasema wanarudisha bikra iliyopote sijui kuna ukweli gani hapo
 
Nani kakulazimisha?!
Wewe ukitaka njoo nikuonyeshe hata watu wanaouza dawa ya kumrudisha bikira mke wako uipate hiyo furaha yako ya bikira.
 
Nimeona kuna video moja mtandaoni kuna saloon wanasema wanarudisha bikra iliyopote sijui kuna ukweli gani hapo
Duniani kila kitu ni fursa kwa wajanja na wajinga wanazaliwa kila siku,
Hata wasaka bikira ni fursa kwa wajanja
 
Endelea kukariri ujinga wa kusaka bikira au mwanamke aliyetembea na namba ndogo ya wanaume ukifikiri ina tofauti yoyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…