Wanaume watabakia kuwa wanaume tu!

Kitu kimoja kwenye haya maisha fanya kitu roho inapenda. Oa mwanamke ambaye nafsi yako imeridhia huitaji akili au pesa ya mwanamke kuishi unaitaji akili zako na pesa zako .ukilitambua ilo sijui mwanamke mwenye kazi au mwenye akili ndo aolewe nope. Unless if you are looking for a business partner .
 
Mwenye taco anafaa?
 
Nyakati za mwisho upendo utapoa Sana Kisha dunia itatuvuta upande wake...tayari akili zetu zimejinasia kwa wenye mzigo tunaona ndo tutaenjoy
 
Mwenye taco anafaa?
Anafaa sana kama ndo nafsi inapenda oa uyo. Tunaishi mara moja tu. Unakuta mtu anaoa mtu kwasababu ana kazi nzuri, sijui ana akili , sijui mpambanaji ila unakuta kuna pisi anaikubali ila hataki kuiweka ndani kwasababu tu ya kazi au upambanaji wake hauko sawa. Ukijiridhisha tu tabia kuwa ni njema oa. Ayo mambo ya akili waachie NASA
 
Sawa sawa
 
Hivi wanaume wenzangu nyie mnaopenda wanawake wenye makalio makubwa huwa mnayafanyia nini?
 
Alikosea alitakiwa kati hao watatu angalau wawili wawe na hayo makalio makubwa. Btw hivi makalio makubwa yakishakuwepo inakuwaje? Aisee wanaume sijui tunachowaza wallah [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2223][emoji2223][emoji2223]
Ebu nipe konekisheni ya huyo wa mwisho
 
Hata miminingefanya vivyo hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…