Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Ngoja nipate mbinu hapa kwa wakulungwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Iko wazi sana, mdada mwenye makalio ana nguvu kushinda mwenye PhDMnawatia hamasa vimbaumbau wajidunge misindano
Mwenye taco anafaa?Kitu kimoja kwenye haya maisha fanya kitu roho inapenda. Oa mwanamke ambaye nafsi yako imeridhia huitaji akili au pesa ya mwanamke kuishi unaitaji akili zako na pesa zako .ukilitambua ilo sijui mwanamke mwenye kazi au mwenye akili ndo aolewe nope. Unless if you are looking for a business partner .
🤣Hata mimi naona
Anafaa sana kama ndo nafsi inapenda oa uyo. Tunaishi mara moja tu. Unakuta mtu anaoa mtu kwasababu ana kazi nzuri, sijui ana akili , sijui mpambanaji ila unakuta kuna pisi anaikubali ila hataki kuiweka ndani kwasababu tu ya kazi au upambanaji wake hauko sawa. Ukijiridhisha tu tabia kuwa ni njema oa. Ayo mambo ya akili waachie NASAMwenye taco anafaa?
Sawa sawaAnafaa sana kama ndo nafsi inapenda oa uyo. Tunaishi mara moja tu. Unakuta mtu anaoa mtu kwasababu ana kazi nzuri, sijui ana akili , sijui mpambanaji ila unakuta kuna pisi anaikubali ila hataki kuiweka ndani kwasababu tu ya kazi au upambanaji wake hauko sawa. Ukijiridhisha tu tabia kuwa ni njema oa. Ayo mambo ya akili waachie NASA
Ebu nipe konekisheni ya huyo wa mwishoAlikosea alitakiwa kati hao watatu angalau wawili wawe na hayo makalio makubwa. Btw hivi makalio makubwa yakishakuwepo inakuwaje? Aisee wanaume sijui tunachowaza wallah [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2223][emoji2223][emoji2223]
yanatumika km kibubu cha kuhifadhia sarafuHivi wanaume wenzangu nyie mnaopenda wanawake wenye makalio makubwa huwa mnayafanyia nini?
Hata miminingefanya vivyo hivyoMwanaume mmoja aliwatongoza wanawake watatu tofauti na nia yake ni kufanya upembuzi yakinifu ili mmoja wao awe mkewe. Hivyo jamaa aliamua kuwapa jaribio kwa kuwapa Tsh. 500,000/= kila mmoja huku akitaka kujua ni namna gani watazitumia.
Mwanamke wa kwanza alitumia pesa yote kununua vipodozi. Alitembelea duka la vipodozi na urembo akajikwatua sawa sawa! Alivyorudi kwa mchumba wake akamwambia,
"Nimeamua kutumia pesa yote kwa ajili ya kujipamba ili nizidi kukupendeza machoni pako na kukuvutia maana nakupenda sana." Hakika yule mwanaume akapendezwa sana na mpenzi wake.
Mwanamke wa pili alinunua zawadi kwa ajili ya bwana wake. Alinunua simu janja mpya kwa ajili ya bwana wake, saa ya kisasa, nguo na viatu vizuri. Alivyofika kwa bwana wake alimwambia, "Pesa yote nimeitumia kununua hizi zawadi zako maana nina kupenda sana." Jamaa akafarijika sana.
Mwanamke wa tatu aliwekeza zile pesa kwenye soko la hisa na baada ya muda fulani alipata faida ya shilingi 2,000,000/=. Mwanamke yule aliamua kumrudishia bwana wake ile pesa aliyokuwa amepewa yaani laki 5 na pesa iliyokuwa imebakia alifungua akaunti ya pamoja na bwana wake. Kisha yule mwanamke akamwambia yule jamaa,
"Nahitaji kuwekeza na kuhifadhi kesho yetu kwa sababu nakupenda sana." Hakika yule mwanamke alimfurahisha sana jamaa.
Jamaa akatafakari sana yale ambayo yalikuwa yamefanywa na wale wanawake baada ya kupewa laki 5.
Lakini mwisho wa siku jamaa aliamua kumwoa mwanamke mwenye makalio makubwa!
Wanaume watabakia kuwa wanaume tu!
Akili ya pesa anayo,vipi kama mchoyo,Malaya,hapendi ndugu,mgomvi?Huyo ya mwisho labda awe na ngoma tu ndo nitamwacha aende.Ana akili sana.
Yote hayo kwangu yanarekebishika😅Akili ya pesa anayo,vipi kama mchoyo,Malaya,hapendi ndugu,mgomvi?