katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,124
- 5,745
- Thread starter
- #41
Ndio yule mwenye pabu ya kishoga sakinaHivi Arusha si Ndio kwakina yule Jamaa aloolewa Na Msela wa Kizungu? Well Arusha now days machalii wamekua Soft kinoma yan.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio yule mwenye pabu ya kishoga sakinaHivi Arusha si Ndio kwakina yule Jamaa aloolewa Na Msela wa Kizungu? Well Arusha now days machalii wamekua Soft kinoma yan.
Ndio wapoiv kwa zama hizi bado kuna mtu anajiita handsome
DohNdio yule mwenye pabu ya kishoga sakina
okay, ningependa kujua thamani yangu kabla ya kujitambulisha ilikua ngapi na baada ya kujitambulisha imeshuka mpaka ngapi?Yaani ulivyojitambulisha hadi imeshusha thamani yako
Dada angu mi nipo JF, Ila toka ilipofungiwa nilikaa pembeni kidogo na hata sikujua imefunguliwa lini. Juzi nikasema ngoja nijaribu, nashangaa kitu kina kubali.Jamaani jamaani hivi upo Jf hii kweli?
Ooh. Sawa Kaka.Dada angu mi nipo JF, Ila toka ilipofungiwa nilikaa pembeni kidogo na hata sikujua imefunguliwa lini. Juzi nikasema ngoja nijaribu, nashangaa kitu kina kubali.
noma sanaAtaitwa handsome na mtu mwingine ila yeye ni marachache sana kujiita handsome
matusi ya nini mzee? kuwa na hekima , kama umenyimwa uhandsome angalau kuwa na hekima basi. ukijiona mwanamme una tabia ya wivu basi jua kuna kasoro katika uanaume wako. mie nipo mawindoni hapa, badala wewe ufatilie ishu zako unaanza kufatilia wanaume katika ishu zao. kuwa makini usije ukaingizwa jingi, mjini hapa.
Shukran sana. Tuko pamoja.Ooh. Sawa Kaka.
Nimefurahi kukuona tena bana. Karibu sana.