Wanaume watanashati wa Arusha, mpo JF?

Wanaume watanashati wa Arusha, mpo JF?

Yaani ulivyojitambulisha hadi imeshusha thamani yako
okay, ningependa kujua thamani yangu kabla ya kujitambulisha ilikua ngapi na baada ya kujitambulisha imeshuka mpaka ngapi?

it was a joke, hivi kuna mtu anaweza kujisifia kuwa yeye ni HB?
 
matusi ya nini mzee? kuwa na hekima , kama umenyimwa uhandsome angalau kuwa na hekima basi. ukijiona mwanamme una tabia ya wivu basi jua kuna kasoro katika uanaume wako. mie nipo mawindoni hapa, badala wewe ufatilie ishu zako unaanza kufatilia wanaume katika ishu zao. kuwa makini usije ukaingizwa jingi, mjini hapa.


Wivu wakati nakusaidia kukupa maarifa? Wanawake walio wengi hawasisimuliwi na mwanamme anayefanana nao, ulizia Martin Kadinda ama Ben Kinyaiya watakuambia. Wanawake wanaona nyie sawa na wao na ndiyo maana wanakuwa hawana msisimko nanyi.
 
Back
Top Bottom