Na huyo mchumba atakuwa kala hasara manake hilo toto la form 4 ni last born, sasa achague mwenyewe.Khaaa! toto la form 4? ole wenu mniharibie uchumba wangu
Tuambie wewe labbda kufuata tabia zako maana inawezekana na wewe ulikuwa unaenda na uji shuleni wakati uko Form Four.Khaaa! toto la form 4? ole wenu mniharibie uchumba wangu
Khaaaaa!Na huyo mchumba atakuwa kala hasara manake hilo toto la form 4 ni last born, sasa achague mwenyewe.
Hahahaha! Leo siri zote za Klorokwin zitajulikana.Kafuata ndiyo, we huoni linavyodeka kama babake?
Kafuata ndiyo, we huoni linavyodeka kama babake?
hiyo uji ndo nini? ni jina la mtaa?Tuambie wewe labbda kufuata tabia zako maana inawezekana na wewe ulikuwa unaenda na uji shuleni wakati uko Form Four.
Hahahaha! Leo siri zote za Klorokwin zitajulikana.
Na mpaka leo anaenda kazini na uji eti anywe sa 4 asubuhi, khaaa kweli klorokwini amezeeka vibaya wewe uliona wapi jitu lina miaka 50 linakunywa uji sa 4?Tuambie wewe labbda kufuata tabia zako maana inawezekana na wewe ulikuwa unaenda na uji shuleni wakati uko Form Four.
Tumeenda dr kasema hatuna, amesema na wewe ukachukue majibu yako na amesisitiza usiogope sana/usikate tamaa manake siku hizi kuna ARV..hehehe mshakwenda kuchukua majibu? leo ni siku ya ukimwi wajameni.
Halaf unajua mimi swahili yangu haiko muzuri, nini maana hiyo red, saidia mimi nduguNa mpaka leo anaenda kazini na uji eti anywe sa 4 asubuhi, khaaa kweli klorokwini amezeeka vibaya wewe uliona wapi jitu lina miaka 50 linakunywa uji sa 4?
kama hauna kweli nitakuPM tukasherehekeeTumeenda dr kasema hatuna, amesema na wewe ukachukue majibu yako na amesisitiza usiogope sana/usikate tamaa manake siku hizi kuna ARV..
Wacha tuzimwage hapa, amezidi kuwadanganya wadada wa jf... Leo lazima apokee PM za kupigwa vibuti...lolHahahaha! Leo siri zote za Klorokwin zitajulikana.
Hahaha! Ni jina la waziri flani hivi wa Tz, wewe upo nchi gani vile?Halaf unajua mimi swahili yangu haiko muzuri, nini maana hiyo red, saidia mimi ndugu
mimi iko baba bombay mama bakistanHahaha! Ni jina la waziri flani hivi wa Tz, wewe upo nchi gani vile?
Hunijui ,sikujui.Yani HATUJUANI.Mimi research yangu inaniambia wengi wao wamekuwa mabwabwa na wamefurahishwa sana na kauli ya kameruni.
Kinamama wanaharibu sana watoto wa kiume, tena naongelea kinamama wote mpaka wa hapa JF (ole wenu mbishe)
Hunijui ,sikujui.Yani HATUJUANI.
Wanaume hao wanajua kupika, kulea watoto, wana huruma zaidi, wanaheshimu wanawake, wana upendo, wanajali, etc.
Mwenye sredi inaelekea ni mtoto wa mama.
Mbona kaingia mitini?
Hunijui ,sikujui.Yani HATUJUANI.