Wanaume wazuri ni wale waliopata malezi ya karibu ya mama zao, kweli?

Wanaume wazuri ni wale waliopata malezi ya karibu ya mama zao, kweli?

Tuambie wewe labbda kufuata tabia zako maana inawezekana na wewe ulikuwa unaenda na uji shuleni wakati uko Form Four.
Na mpaka leo anaenda kazini na uji eti anywe sa 4 asubuhi, khaaa kweli klorokwini amezeeka vibaya wewe uliona wapi jitu lina miaka 50 linakunywa uji sa 4?
 
sure, kaukweli kapo, ila pia inategemea na aina ya mama, si wamama wote ni walezi wazuri, hii inafaa kuifanyia research wewe mwenyewe kwa kuangalia watu wanaokuzunguka.
 
Na mpaka leo anaenda kazini na uji eti anywe sa 4 asubuhi, khaaa kweli klorokwini amezeeka vibaya wewe uliona wapi jitu lina miaka 50 linakunywa uji sa 4?
Halaf unajua mimi swahili yangu haiko muzuri, nini maana hiyo red, saidia mimi ndugu
 
Mimi research yangu inaniambia wengi wao wamekuwa mabwabwa na wamefurahishwa sana na kauli ya kameruni.
Kinamama wanaharibu sana watoto wa kiume, tena naongelea kinamama wote mpaka wa hapa JF (ole wenu mbishe)
Hunijui ,sikujui.Yani HATUJUANI.
 
Back
Top Bottom